Ukweli kuhusu hali ya Mabenki Tanzania.

Hapa kinazungumzwa kifaransa wewe mbweha
Mama yako mbweha jike mimi mbweha dume na wewe ni mtoto wetu mbweha mtoto.

FaizaFoxy huandika "ina lilah waina lilah rajiun" Nadhani ni toholeo la kiarabu sasa humu tunaandika kiarabuuuu!!!

We mtoto wa mbweha vipi wewe unakuwa na dna ya nyau?
 
Kiswahili chenyewe kinatokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa.

Punguani wahed.
 
"Punguani" ndiye mwanao wa kwanza na "wahed" ni ombi rasmi kuwa nikuoe?!!!!!

Mimi ni mkristo, tuna ndoa ya mke mmoja tu!!
Kiswahili chenyewe kinatokana na Kiarabu kwa asilimia kubwa.

Punguani wahed.
 
"Punguani" ndiye mwanao wa kwanza na "wahed" ni ombi rasmi kuwa nikuoe?!!!!!

Mimi ni mkristo, tuna ndoa ya mke mmoja tu!!

Nyie si hata hivi mnaoana:

Unamuona mchungaji na mkewe sijuwi mumewe huyo?
 
Umetumwa na nani wewe pimbi kupiga hizi pumba, ww uko USA mambo ya Tanzania yanakuhusu nini
 
Safi sana huu ndiyo usomi,sio watu wanakuja na porojo ooh waziri atoke,kweli Dr Mpango,a former WB economist hajui anachofanya?jamani watz tuàche umbea.
 
Ahsante Mwana,
Kuna paper nataka kuandika umenisaidia kupata mwelekeo Ahsante.
 
Pessimism=pestimism
 
Umesoma uchumi na upo pale mnazimmoja kwa pembeni pale karibu na crdb pale
 
Well, mchumi kuongea ila nazani labda atakuwa hana taarifa sahihi.

Kuna shirika moja la umma miaka ya nyuma lilifunga account zake zilizokuwa NBC na kuhamishia CRDB bank.
Kitendo hicho cha kufunga hizo account ilipelekea NBC kuyumba sana,
Ikawalazimu NBC wafanye lobying serikalini ili hilo shirika wawe na account hapo.

Sasa huyu mchumi anaposema kuwa mabenk hayajaadhirika kwa serikali kuamishia hela BOT wakati kitendo hicho kilipofanywa na shirika moja tu Benk ya NBC ilikaribia kufungwa inakuwa ngumu kumeza.

Niseme tu kwamba heshima ya serikali itarudi tu kwa Serikali kuwajari wananchi wake na si zaidi ya hapo.
 
Ningekua mtu mkubwa serikalini..watu kama nyie mnatufaa sana katika nchi hii tena Ktk nyadhifa kubwa..very intelligent..be blecd
tatizo wakipewa madaraka wanabadilika, ccm hata ukiwa intelligent namna gani wanakutoa ufaham
 
kwa ujumla hali ya taasisi za fedha ni mbaya ila wanaogopa kusema maana watatumbuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…