Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania

Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?

Namfahamu baba yake Jacqeuline Ntuyabaliwe Mengi miaka mingi sana. Mimi na Dr. Ntyuabaliwe tulizaliwa kijiji kimoja cha Kalinzi, Kigoma na tulianza shule pamoja enzi hizo. Dada yake Dr. Ntuyabaliwe anaitwa Regina na anaishi pale Kalinzi hadi leo.
 
Huyo ni mtu wa nkulunziza.
 
Tunaomba idara ya uhamiaji ifuatilie suala hili
 
Teh Teh hiyo unayo sema sintofahamu umeifahamia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…