Ukweli kuhusu kampuni ya Katani LTD

Ndahani,
Nawaandika wale ninaowajua sasa hilo kuwa nawaandika Waislamu ni kweli wala hujanisingizia.

Angalia makuzi yangu mimi ya Dar es Salaam ya 1950s chunguza nacheza mpira Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja na Jangwani hebu ishughulishe akili yako kidogo tu utapata jibu.

Naandika historia ya TANU.

Mkabala ya nyumba ya babu yangu Kipata ni ya Kleist Sykes ukipanda juu unaelekea Msimbazi kuna nyumba ya Clement Mohamed Mtamila, mbele zaidi nyumba ya Ibrahim Hamisi na wote hawa viongozi wa African Association hadi TANU.

Utanilaumu kwa nini nimewajua hawa marafiki wa babu yangu na kwa nini nimeijua historia zao na TANU?

Labda nikuulize.
Wewe ulitaka iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini je hukuona haja ya kujiridhisha nawe uone uhalali wa andiko na madai hayo?maana si kweli kuwa kila ukionacho kwenye gazeti unakileta jukwaani. Issue ilikuwa ni uwepo wa shamte. Umepata ufafanuzi toka kwa P. Mayala na wengine umejikuta ulichotaka kusimamia kuwa Shamte mfumo Kristo umemwangusha hakina mashiko. Sasa unabaki unawaya waya kuwa ni gazeti si wewe... Mzee Said huko unakopita Mzee mwenzangu na sisi tulipokuwa Vijana tulipita.

Waku...
Hilo gazeti ndiyo jana naliona siwajui hawanijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu wa haraka haraka, inaonekana kuwa haya ni MAJIBU kwa ile taarifa ya ile Tume ya Serikali iliyotolewa mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, hivi karibuni! Na inaonekana kuwa mtoa mada/uzi huu anayajua mambo mengi na ya ndani ya KATANI LTD. Namshauri ashirikiane na Serikali kujua ukweli ili haki itendeke kwa wote.
 
Komeo...
Sidhani kama wewe umepita nilikopita mimi.

Ungepita barabara niliyopita mie usingeficha jina lako.

Mimi naandika kwa jina langu halisi kama ushahidi wa kuwa nilisemalo nalisimamia.

Wala sidhani kama kusikiliza upande wa pili kunahitaji mimi kujiridhisha kwa lolote.

Haki ni kwa pande zote mbili kusikilizwa na hapa ilikuwa zamu ya Katani na wao wajieleze tuwasikilize.

Hapa barzani nimeleta mengi niliyoyaona magazetini labda kwa kuwa wewe ni mgeni hapa ndiyo huyajui haya.

Nakuwekea hapo chini makala kutoka gazeti la TAZAMA niliyomsahihisha Mzee Msekwa historia ya TANU aliyoandika ambayo haikuwa sawa ina makosa.

Hizi ninazo nyingi ikiwa unapenda kusoma nifamahimshe Insha Allah nitaziweka hapa.

Nakusihi tujadili kwa ustaarabu hizi lugha za "kuwayawaya," zitumie kwa wengine.

Sijui kipi kimekupelekea wewe kuja hapa na habari za Mfuko Kristo.

La kama unapenda kujadili hoja hiyo fungua uzi mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • PIUS MSEKWA TAZAMA.jpg
    10.5 KB · Views: 2
Mukaruka...
Naamini pande zote mbili sasa zimejieleza.

Sasa tuwe na subira tungojee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipoona Muandishi ni mzee Said nikajaribu kutafuta kiini cha andiko....ndipo nikakutana na sentensi 'umoja wa Wafanyakazi 87, akiwemo Salum Shamte na wenzie 86' nikasema Ok.
Mzee Mohamed Said kakopi sio yeye muandishi
 
Ngongo,
Mimi si niliyeandika makala hiyo.
Hii makala iko katika gazeti la Jamvi la Siasa.
mzee wangu mohamed said nini kimekusuma kuileta hapa jf?.

zipo makala nyingi tu kwenye magazeti yetu ya hapa tanzania zikiangazia kesi inayomkabili mzee james regemalila(mkatoliki), hata siku moja hatujawahi kuona ukileta hapa jf ili tujadili. kwanini hii ya shamte(muislamu) umeipa kipaombele sana?.
 
Smarte,
Shamte ni ndugu yangu.
 
Mzee wa udini,yote hayo kumbe ni kumteteta Shamte, na unataka haki itendeke wewe kama nani?
 
Mzee wa udini,yote hayo kumbe ni kumteteta Shamte, na unataka haki itendeke wewe kama nani?
Mfianchi,
Ukianza kwa matusi sasa mimi nitajibu nini?

Wengine na yeye angekutukana na hivyo hivyo mngeendelea kutukanana.

Bahati mbaya kwako mimi si mtu wa hivyo.

Imam Shafi anasema anaweza kusimama kwa hoja hata na watu mia moja lakini akashindwa na mjinga mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu RC Martin Shamte Kwa nini alisimamisha uzalishaji? na kwa nini wachina wachukue Malighafi zote kupeleka kwao! na kiwanda chetu kikubwa Africa kikose Malighafi?

je Management Za Mkonge na TANCAT zilisema nini kuhusu maamuzi ya RC? na wanahisa wali react vipi?

Mleta mada eleza vizuri bana vinginevyo una majungu! hivi unamjuaJjiwe vizuri?
 
Nyaru...
Mimi si mtu wa lugha za "bana."
Tufanye mjadala wa heshima.

Vitisho vya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyaru...
Mimi si mtu wa lugha za "bana."
Tufanye mjadala wa heshima.

Vitisho vya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezo huu hautaki hasira! kuna lafudhi nyingi, unajua kabila langu unaponihukumu sina heshima? acha hizo!. Uko on line forum ili JF I-reckon mawazo yako, unaipanga JF lafudhi? '' bana'' uliposoma common error drsn! ulielewaje!

Km wewe siyo Lugha ya ''bana'' ulinipangia lini lugha yako ya zanzibar nikakiuka mkuu? Ukiendesha gari bongo yetu hii, uwe na Panga kabisa!!!! jibu hoja kwa uvumilivu, ndiyo adabu ya mjadala!

''Vitisho'' - Hivi Mohamed, ningekutisha ungevumilia? helufi 4 nimekutisha hunioni! je ukiiona Tata Nyarusare mwenyewe itakuwaje! perfectionism ni ugonjwa hatari na hauna dawa!.
 
Nyaru...
Herufi si "helufi."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…