Ukweli kuhusu kampuni ya Katani LTD

Ukiwa muongo,ugopa kusahau.
 
Mukaruka...
Naamini pande zote mbili sasa zimejieleza.

Sasa tuwe na subira tungojee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mohamed; ila mimi nimesikiliza kwa kina na kwa uhakika upande wa ile Tume ya Serikali. Huu ndio upande mmoja,upande mwingine nadhani ni ule wa watuhumiwa. Huyu mleta uzi sidhani kama ni mtuhumiwa, binafsi nadhani ni mtetezi wa watuhumiwa yaani Shamte na wenzake. Ila unapousoma uzi huu husika kuna dalili kama kuwa wanaosema kwenye uzi huu ni wale watuhumiwa kupitia kwa mleta uzi. Vinginevyo nakubaliana na wewe kabisa kuwa tusubiri upande wa pili ambao naamini tutawasikia kupitia Mahakamani.
 
Mzee wangu nashukuru sana kwa historia na mada zako jukwaani.

Ombi langu kwako uje utuletee mada kuhusu kuanzishwa mpaka kufa kwa shirika la meli la Taifa (NASACO), majengo yake na nyumba zilizoachwa na shirika.

Pia meli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali ya Tanzania kwa Ushirikiano na China (Sinotaship). Hizi zilianza kumilikiwa na miaka ya 1970, wapi zilipotelea.
 
Mkuu Naomba uandae na historia ya kuanza mpaka kufa kwa Shirika la Meli la Taifa (NASACO) na Mali zake zilizobaki au kuuzwa.
 
Mkuu ukiwaza tanga iliwai kua level izo ukiangalia na tanga ya leo ni inaskitsha sana.
Sijui ilikuaje mpaka mji ukafikia hatua iliopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa wachangiaje wote wamekuja na mizuka, mihemko na Ukichaa. Mzee wangu Said umeleta bandiko zuri sana na umeweka wazi kwamba sio wewe mwabdishi wachangiaji wengi wnonekana wqnakyshambulia wewe personal na sio hoja za bandiko lako.
Cha msingi wapuuze, wadharau na waone kama mahayawani tu.

Ahsante kwa Bandiko hili ka Copy&Paste

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Ahsante sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We can still do something ili jasho lake lisipotee bure
Jr[emoji769]
 
Ngongo,
Mimi si niliyeandika makala hiyo.
Hii makala iko katika gazeti la Jamvi la Siasa.
Sony,
Mimi si niliyeandika makala hiyo.
Hii makala iko katika gazeti la Jamvi la Siasa.
Wakudadavuwa,
Mimi si niliyeandika makala hiyo.
Hii makala iko katika gazeti la Jamvi la Siasa.
Mimi si niliyeandika makala hiyo.
Hii makala iko katika gazeti la Jamvi la Siasa.
Pole sana mkuu

Jr[emoji769]
 
Ungetoa mfano labda hizo dhuluma ni kama zipi hizo? Ukisema dhuluma tu haitoshi.......
Na hivyo vitabu alivyoandika si alitakiwa aviuze ili aweze kupata haki ya uandishi wake?

Just thinking aloud...... sina interest upande wowote
 
Kaka nataka kujua mkewe gani ni mkurugenzi. Halafu kampuni hazichagui ukurugenzi kama chama cha siasa. Ni makubaliano ya wana hisa. Huku Ulaya, mwenye shares kubwa katika kampuni ndio CEO. Hachaguliwi, ila pochi lako kinazungumzia.
 
alitakiwa
Nafikiri duniani kote sheria ni kufanya uchunguzi halafu ukisha kamilika una mshtaki mtuhumiwa. Kwetu Tanzania unabamizwa ndani, unabambikiwa money laundering case, maanake ndio hutoki mpaka maiti. Na hapo hapo utapelekwa mahakamani kila wiki 2, na kesi itaahirishwa kwa kuwa mwanasheria wa mashtaka hana mpya. Nikutesa watu tuu. Magereza yamejaa watu kama hao. Hakuna haki yoyote. Mungu atawasaidia, maana hali sio salama.
 
Habar wana jamii forum, ?
Napenda kujua kuhusu soko la zao la mkone liko wapi , bei zake changamoto zake ! Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…