Ukweli kuhusu kifo cha Pepe Kalle ukoje?

Nyimbo zake zinanikumbusha mbali sana. Nakwenda shule sina hata mia, nashinda na njaa kutwa nzima. Siku nikipata mihogo ya fifty ni kama fiesta. Hapo kila kona ukipita ndio unasikia nyimbo za Pepe Kalle
 
Kwani sio kuwa Gualamali ndo alimpa pesa Pepe Kale aimbe wimbo maalum Kwa Yanga?
 
Kwani sio kuwa Gualamali ndo alimpa pesa Pepe Kale aimbe wimbo maalum Kwa Yanga?
Ilikua baada Yanga kuchukua Ubingwa wa Afrika Mashariki na kati kule Kampala, vibe la Yanga lilikua juu, so Pepe Kalle alipokuja nchini akakutana nalo, na hapo ndipo akaahidi kuwatungia Yanga wimbo.
Ilichukua muda watu wanasubiri wimbo wa Yanga kutoka kwa Kabasele Yampanya, akawa anaahidi kutunhs. Ndipo Gulamali akakamatia fursa. Ni obvious alitoa Pesa ili jina lake liingia.
Watu walitaraji wimbo uke ungetaja majina ya Wachezaji kama ilivyokuwa kwa Cameroon, matokeo yake wimbo wote katajwa yeye tu😄.
Yaga walipousikia ni kama waliupotezea fulani hivi.
 
Umeupiga mwingi
 
Nyimbo zake zinanikumbusha mbali sana. Nakwenda shule sina hata mia, nashinda na njaa kutwa nzima. Siku nikipata mihogo ya fifty ni kama fiesta. Hapo kila kona ukipita ndio unasikia nyimbo za Pepe Kalle
Mimi nakumbuka kibanda umiza trela ilikua nyimbo za Pepe kale alafu picha kamili komando kipensi au komando John au the hard way.
 
Nyimbo zake zinanikumbusha mbali sana. Nakwenda shule sina hata mia, nashinda na njaa kutwa nzima. Siku nikipata mihogo ya fifty ni kama fiesta. Hapo kila kona ukipita ndio unasikia nyimbo za Pepe Kalle
Muyimbi, Gigi, Nina, Hidaya
 
Kuna mwngine huku naona anatrend sanaa mitandaon 'Mohbad'anaongelewa sana...mweny ABC za huyo jamaa atuwekee hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…