herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Imezoeleka sana kuwa vile viatu maarufu kama vya kimasai, hutengenezwa na walio wengi wamasai, lakini utafiti mkubwa nilioufanya nikuwa kumbe na wao hununua katika kiwanda kiitwacho Woiso Original Products Co.
Hichi kiwanda kipo Dar Es Salaam, njia ya Salasala madukani, baada ya kushuka Mbuyuni, unarudi nyuma, unakutana na barabara ya lami, mkono wa kushoto kama ukiwa unatokea Mwenge au mkono wa kulia kama ukiwa unatokeaTegeta.
Karibu Woiso, kwa bidhaa za ngozi.
Asante