Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..
Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama
Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen
Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...
asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....
Ha ha ha ha, AD leo ni siku ya
kumpamba klorokwini sio!!
Klorockwini hoyeeeeeeeeeeeeee!!!!
LD mume b w e g e hajambo :lol::lol:
Bado sijamcheki MR,
Nina mashaka atakuwa na homa ya tumbo la kuhara,
Manake yale mapointi ya jana yalimfanya afumbuke macho!!
Leo ni siku ya SHAROBARO Klorokwin duniani, AD hivi klorokwin expire date yake ni lini? Hapa naongeza wawili (Uporoto na Hashycool) kumaliza siblings wa SHAROBARO Klorokwin.
mr mr mrkwi kwiii mpe pole wala asihare mwaya mwambie aache ubwege lol utu uzima dawa :lol::lol::lol::lol: Asipelekeshwe ni kabinti sawa na mtoto wake :lol::lol::lol:
Ndio SHAROBARO wetu hapa, ngoja siku umuone anakimbiza mwizi utacheka:lol::lol:heh kumbe hata kwenye usharobaro yumo .......
Ndio SHAROBARO wetu hapa, ngoja siku umuone anakimbiza mwizi utacheka:lol::lol:
Hahaha
Leo siku yake
Anameremeta
jamaa anajua kutuchekesha sana llol
Leo ni siku ya SHAROBARO Klorokwin duniani, AD hivi klorokwin expire date yake ni lini? Hapa naongeza wawili (Uporoto na Hashycool) kumaliza siblings wa SHAROBARO Klorokwin.
Usiache mbachao kwa msala upitao:lol::lol:Abeee shemeji