Ukweli kuhusu kununua views YouTube

acha mahaba na mapenzi binafsi
reality is its possible

https://devumi.com/youtube-views/

I bought myself 60,000 YouTube views for Christmas
mitanzania kweli haipendi fanya reserch
 
Acha kutuwekea visite hapa, IKO KITU HAKIWEZEKANI NA MWAKILISHI WA YOUTUBE E.A KADHIBITISHA HILO. NA KWANINI MNALAZIMISHA KUWEZEKANA KWA HIKO KITU ..........AU MNATAKA KUTUAMBIA IDADI YA VIEWS ALIONAO MOND NI SAWA NA YULE SHOGA WA UWANJA WA FISI.
naona TUZO ZA EATV ZIMEPOA SANA BAADA YA DIAMOND KUKATAA KUSHIRIKI, KAMA SIMBA ANGEKUWEPO KUNGEKUA HAPATOSHI NA mfalme wa kariakoo KIBA NDIO ANGETAFUTA KITONGA(KIKI) KUPITIA SIMBA.. Ndio maana tunasema Simba akiacha mziki leo na Kiba atastaafu(atachukua likizo ya maisha) muziki ... Simba mkali Diamond ndio aliye-mfufua msukule(KIBA) baada ya kuacha mziki..Kama sio Diamond mfalme wa Kariakoo angekua anakula UNGA na wakongwe wenzake kama DAZ BABA, CHID BENZ, FERUZ
 
Asante kwa huu ufafanuzi mana juz tumebishana sana na jamaa moja nusura tuzichape ngumi kuhusu hili swala la kununua views in real sense hakuna kitu kama hicho wazungu sio wajinga kama tunavyodhani.
Ebu nielekeze kwa kiswahili kwa kifupi je inaezekana au haiezekani
 
Huo mjadala umeendeshwa na watangazaji na watu ambao kweny jamii tunaamini ni timamu, japo alieanzsha hoja alikua anataka public stunt
Hata wao pia wamenunuliwa
 
NENDA YOU TUBE KATAFUTE CHANNEL YA, GEORGE NYAMBO AMEWEKA MAHOJIANI YA CLODS MEDIA (XXL) NA AGENT WA YOU TUBE East Africa NI MKENYA UTAPATA UKWELI SIO KUONGEA POROJO TU HUMU
Kama yy ni agent wa EA na kashfa ipo ktk zone yake unataka akubali au?
 
Ifike muda msiwe wa kutufumba kila kitu, sijui huwa mnatumwa au huwa mnatumia elimu zenu za darasani kudanganya watu, mambo meng tunafundishwa lakin baadhi ni uongo tu, suala la kununua viewers linawezekana na endelea kuomba na kusubiri facts badala ya kufatilia ukweli. Technology ilipo sasa ni zaid ya unavyofikir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…