Ukweli kuhusu lupiah na hela za zamani

Ukweli kuhusu lupiah na hela za zamani

Joined
Aug 17, 2017
Posts
45
Reaction score
17
Jaman habari zenu, samahan je kuna ukweli kwamba kuna pesa za kijeluman mfano lupiah zinatafutwa? na kama kwel ni nan anae nunua natanguliza shukran zenu, matus sio uungwana

Dsk
 
Izo Rupee ni fedha zinazotafutwa na mambo ya kishirikina hasa!
 
Mkuu LUPIAH ndio nini?
download-1.jpg
download.jpg
 
Me nimeridhi rupia ya babu yangu ila sioni umuhimu bado nimehifadhi tu
IMG_20170710_075155.jpg
 
Back
Top Bottom