Ukweli kuhusu makosa makubwa yaliyofanywa na tcu.

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
UKISOMA KITABU CHA TCU AMBACHO KILIKUWA MTANDAONI HADI 08/07/2014 UKURASA WA 9 UNASEMA:
Note: The programme requirements in this book use the Old Grading System to applicants who
completed Form Four and Form six in 1988-2013. For Form Six applicants who will complete their
studies in 2014, their grades will be translated into Old Grading System. The translation is illustrated in
Table 3 and will be used for admission purposes only. For the new grading system principal pass is
between ‘A and D.
WAKATI KITABU CHA TCU GUIDING BOOK 2014/2015 KILICHOPO MTANDAONI KUANZIA 18/7/2014 UKURASA WA TISA UNASEMA;
Note: The programme requirements in this book use the Old Grading System to applicant
completed Form Four and Form six in 1988-2013. For Form Six applicants who will complete
studies in 2014, their grades will be translated into Old Grading System. The translation is illustra
Table 3 and will be used for admission purposes only. For the new grading system principal pass is
between ‘A and C. Grade D will be pass.
ANGALIA TOFAUTI KWENYE RED HAPO JUU........................HII NDIO TCU NA HII NDIO TANZANIA.........."we can live as if nothing is a miracle or every thing is a miracle"........but "imagination wil take us every where while logic wile take you from A to B".
 


Principal Passes ACSEE ni A, B+,B, na C na D ni Pass. D ni sawa na ilivyokuwa subsidiary kwenye old system.
 
MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013
linganisha na vya sasa.
Edit Reply Report Post
 
MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013
linganisha na vya sasa.
Edit Reply Report Post

Kwa iyo unataka kujalibu kusemaje?
 

So wenye dde awana uwezo wa kuingia chuo kutokana na kitabu cha18/7/2014
 

naomba msaada nilisoma PCB nina ECC....ntapata chuo kwa tcu kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…