skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,383
Wana Jf poleni na majukumu ya siku,
Tuanzie kichwani, hivi sasa kumekuwa na hali ambayo inakuwa ya kwaida kusikia kina Dada wanalalamika kuwa hawafikishwi kileleni, naamini ni kweli kabisa na mpaka wanaamua kusema ni yamewafika shingoni,
Hembu tujiafakari wanaume na kujiuliza kwanini hatumalizi milima tunayoanza kuipanda?
Uchunguzi wangu Mdogo usio rasmi kuhusu hili ni megundua mambo kadhaa,
(1) Wanaume wengi tumekuwa wa dhaifu, Wanaume walio wengi wamekuwa wakisumbuliwa na msongo wa mawazo either ya familia zao au maisha yanavyo wapiga hivyo wanajikuta wanaanza kuwaza mambo yao ya ki maisha au Kifamilia wakiwa katikati ya mapenzi, ikiwa hivyo Dada yangu, Mama yangu, shemeji usitegemee kufika kileleni abadan
(2) Wanaume wengi tunakurupuka kutafuta wapenzi, imekuwa ni kawaida mwanaume kumtongoza mwanamke kwa ushawishi na sio kwa maneno Mazuri ya kumfanya mwanamke ampende na kutamani ukaribu nae bali analazimisha ukaribu either kwa ofa au ahadi ya kumfanyia kitu fulani hivyo inapotokea mwanume akakumbuka alivyokushawishi ukafikia kulala nae mwili unakufa ganzi na mshipa wa munkari hulegea na kuingia kwenye mfumo wa kuwaza jambo mwanamke yeyote atakaekutwa na janga hili asitegemee kufika kileleni katika mapenzi,
(3)Kubeba na kulala na wanawake ambao hatuna future ya kuishi au kufanya maendeleo nao, ikitokea mwanaume amemchukua mwanamke na kumshawishi kufanya nae mapenzi lakini hajampenda bali anataka tu kutimiza lengo lake la kulala nae ni hakika akipata bao moja tu lazima jogoo arudi bandani hivyo mwanamke asitegemee kufaidi penzi pale abadan,
(4)Mwanamke kumsumbua mwanaume kwa muda mrefu, hili ni tatizo kubwa kwa mwanaume katika mahusiano, mwanamke Unapomsumbua Sana yule anaekupenda hali kunamfanya afikie mahali akuone wa kawaida inapotokea sasa siku unamkubalia inatokea kufanya mapenzi nawe kwa uchunguzi ikitokea akagundua kitu au kuhisi kitu mfano una urafiki nae kwa mwaka na alijiweka wazi kwako lakini wewe mwanamke ukawa unamsubirisha halafu siku unampa akagundua kuwa ndani ya miezi sita umeliwa yaani umefanya mapenzi na Mtu mwingine hilo tayari ni tatizo atakuwa hana imani ya dhati kwako tena hivyo hata kileleni utackia kwa marafiki zako tuu
Haya yote ni mambo yanachangia mwanaume kutojiamini katika mapenzi amevurugwa ki saikolojia,
Ila ni tofauti na zaman zile, zamani ilikuwa kwanza hakuna zinaa kama sasa na ilikuwa ukianzana na mpenzi wako ni mpaka mnaona hujawahi kubadilisha hivyo kamwe huwezi kuona tofauti maana ulichoonjeshwa ndicho ulichokula na unachokula siku zote,
Toafauti na sasa unachoonja sicho utakachokula na utakacho onjeshwa sicho utakacholishwa lazima uone tofauti wanawake mpaka anaolewa ameshakuwa na wanaume 6 tofauti wasaba ndo anaoa unategemea afanane na 6 walopita? Hapo kuna mwanamke tegemea mambo ma 3, (1) kulingana viwango, (2) kuzidiwa viwango au(3) kuzidi viwango zaidi ya hapo kila siku kilio kwa wasichana na wanawake kutofika kileleni Dada kabla hujakubalia tathimini na ujitathimini unategemea kuwa na wapenzi wangapi kabla ya kuolewa?
Nawakilisha mwenye mawazo yake binafsi ruksa ila matusi baki nayo kwanza tujengane Kwanza kwa hili ikiwezekana Dada zetu, wapenzi wetu nao wafurahi, maana sijawahi sikia kuwa kuna mwanume kalala na mwanamke hajakojoa japo hata kama kamoja kama kuku ila kapata, na mwenzako apate basi?
Karibuni!!!!!