Nimesoma sakata hili la Flora Mbasha na mumewe na ninaanza kuamini kuwa nyuma ya pazia kuna wanasiasa wanachochea uhasama huu kwa maslahi yao. Kama mtakumbuka kuna wakati EL akiongozana na captain Komba alikwenda kufungua studio ya huyu mama na kitendo hicho kikachukuliwa na maadui wa kisiasa wa EL kuwa Flora yuko kambi yake na hivyo wakaamua kumchafua kwa kueneza uzushi huu kwa kiwango kisichoaminika. Siasa za bongo zimefikia hatua ambayo sio tu watu wanalishana sumu bali hata kuumizana kisaikolojia!!!
It is not a coincidence kuwa yale mapicha machafu yanayomhusu Komba yamesambazwa mitandaoni wakati huu huu ambao Flora anasulubiwa kwenye hii hii mitandao!! Haya mabo yanapangwa na watu wenye malengo yao ya kuendesha nchi.
Acha ujinga wewe,mtumishi gani wa Mungu anakimbia familia yake na kwenda kupanga gest? Kama ameamua kuasi ajianike jamii yote ijue,siyo kuendelea kujifanya ameokoka.
Truth guy;
Naweza kweli kuwa mjinga kwako kwa kuwa sikuungi mkono na bado nitazidi kukuambia kuwa sikuungi mkono kumhukumu Flora. Kwako anaweza kuonekana malaya, mzinzi na mengine mengi lakini mbele za huyo Muumba wake bado ni chombo cha kupuria.
Nakushauri tu, usimtukane Mtumishi wa Mungu. Anaye mjua ni huyo Boss wake sio watu. Kilichomfanya akamkimbia mume wake na kwenda kuishi hotelini weye hukijui wala miye sikijui. Kama weye sio chanzo basi acha kushabikia mapenzi ya wawili hao.
Ipo siku watamalizana weye utaaibika. Sikuwepo siku wanapendana, sikuona wakipeana mahaba, leo nitashuhudiaje kuwa hao si wawili tena?
Hata watu huendaga likizo siku 28 x 3 je ni kuwa tuseme wameacha kazi?? Huenda wamepeana likizo tu siye tuwangoje