Braibrizy Member Joined Apr 6, 2014 Posts 29 Reaction score 548 Sep 5, 2017 #1 Hivi no kweli vyakula tajwa hapo juu vinasaidia kuongeza nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa ? msaada tafadhal ili tulinde heshima ya ndoa zetu..!
Hivi no kweli vyakula tajwa hapo juu vinasaidia kuongeza nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa ? msaada tafadhal ili tulinde heshima ya ndoa zetu..!
F frank lion Member Joined Sep 22, 2016 Posts 98 Reaction score 120 Sep 5, 2017 #2 Nadhani ni uzushi tu sina hakika lakini Sent using Jamii Forums mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 6, 2017 #3 Sperm counts sana sana...ila waulize watu wa Dar niliwahi kuona nikiwa kwenye foleni