maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
kutokana na video hii utaona utamaduni wa wamisri wa kale unavyofanana na makabila mengi ya africa nywele, vitu, technology, ujenzi wa nyumba za kifalme mfano tomb of askia mohamed na kadhalika.
Kubwa tujifunze mambo ya kwetu tuliyofanya na lingine anayedhani kwamba mambo yanayoonekana misri yalifanywa watu wengine ambao sio black skined people ni mwongo mkubwa na baadhi ya wazungu wanadhani kwa kututangaza vibaya duniani kwamba hatujawahi kuchangia katika ustaarabu wa dunia huu ndio wakati muafaka wa kuwaambia bila kupepesa macho.
hii ni darasa lingine ambalo nimependa tuelimishane baadhi ya mambo ya kwetu yalifichwa usoni mwa dunia
Last edited by a moderator: