Ukweli kuhusu msanii Baghdad

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,365
Wadau nimejaribu kuziangalia picha za msanii Baghdad zimenichanganya sana. Nashindwa kuamini kama ni mtu mmoja au sio. Swali langu ni kuwa, je ni kweli inawezekana mtu kubadilika namna hiyo kweli hata kama ametumia dawa? Au ni nini hasa?

Alitumia dawa alikiri. Dosage yake ni expensive kidogo.
 
Aliugua Kisukari Over. Mtu akiugua kisukari mwili huwa unaporomoka, ndo mana wanashauri mfanye mazoezi, mle mlo kamili, na mpunguze miili.
 
Dah huyu jamaa alinishangaza japo akiwa Kibonge ndio anapendeza zaidi
 
Sasa hii hatari anaweza pungua hadi mshedede ukafikia kuwa kibamia.
 
Baghdad Huwa namkubali sana, kuanzia NINAE mpaka FOLENI
nimemsikiliza baada ya kusoma kwako,anajitahidi, ila kama amejikondesha kwa hiari amekosea sana,labda kama anataka kucheza movie ya kuumwa kansa and the like
 
nimemsikiliza baada ya kusoma kwako,anajitahidi, ila kama amejikondesha kwa hiari amekosea sana,labda kama anataka kucheza movie ya kuumwa kansa and the like
hahaha noma sanaa
 
nimemsikiliza baada ya kusoma kwako,anajitahidi, ila kama amejikondesha kwa hiari amekosea sana,labda kama anataka kucheza movie ya kuumwa kansa and the like
Yeah, yuko vizuri sana, hata yule producer wake pia anaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…