Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Kwanza zari angekua mwingine angeshatukanana mnooo aisee lakin yupo kimya akitoa bango ni la kisomi linayumbisha melii,sinta labda walipatiana Ugand au ,hlf zari alisema wanagawana na ivan 50/50 kwenye masual y pesaa

Mmh!! Ila zari nae akitoaga dongo lake wala hapanick ila huo ujumbe lazima uchanganyikiwe, mmh yule kiboko asewh
 

Kwenye para za mwisho kumbe ni ndoto kupata mahakama ya kadhi nadhani hata wanawake wa kiislamu wanaofatilia vizuri haya mambo hawaitaki hii mahakama ya kadhi, kuna kitu nimeanza kukielewa.
 

Weee ntake radhi, mie handsome kitu black beauty, warumi kwa sura tu ipo kwa kweli, labda mwili ndio sina, halafu mie mpole binamu, watu wananipendaga wanasema mi mkarimu na gentleman, yani huwezi amini watu wanavyoniheshimu, ila nikiingia humu sasa ninavyokuwa kichaa

SIku ukibahatika kuniona LIVE, utakaa kabisa mimi sio warumi,hakuna atakayeamini kabisa yani, kila mtu atashangaa, ila ndio hvyo wengine tuna vipaji tu vya kuzaliwa, hahahahah hahahahah
 
Binam habari za asubuhii huku SA mvua kubwaa inanyeshaa

Nzuri binamu, mimi nilivyo kwenye maisha ya kawaida ni mpole sana, sio muongeaji, nina aibu sana, sio mkorofi, nina huruma ila nina hasira za haraka ila ndani ya mda mfupi zinaisha, mademu zangu wananioneaga sana kwa kuwa mi mpole na sijui kuongea ata kidogo, ni muoga tofauti na humu nilivyo
 
AHahahahhahaahhhah, khaa umbea huu ata mswaki sijapiga apa, lisura limenivimba hatar, ukiniona utakimbia, ivi hamna dawa za kupunguza virus vya umbea mwilin? Naona mie virus vinazidi kuzaliana mwilin, yani ni shidaaaa

Ahahaa lol warumi unavituko wewe! Mi nakushauri utafute kazi kwa wahindi tu ndo dawa
 
Last edited by a moderator:
Ahahaa lol warumi unavituko wewe! Mi nakushauri utafute kazi kwa wahindi tu ndo dawa

Nilishafanya kwa mhindi mmoja kariakoo, nikavunja ndoa yake kwa umbea, maana boss wangu alikuwa kiwembe hatar, nilikua namuendesha, basi kutwa yeye kupakiza wanawake na kwenda nao guest, kama kawa cha umbea nikafanya yangu na kaz nkafukuzwa
 
Last edited by a moderator:

Heee hu uwembambaa nani anautaka hebu nenda gym utngeneze six pack nyoooo
 
Bora ivan ana haki ya kuumia kwa sababu ni mke wake, huyo wema si hawara tu kama walivyokuwa wanawake wote waliotoka na diamond, basi wataumia wengi

ht huyo ivan si washaachana
 

Una mademu wangapi binam,,,hahhhhhaaaaaaa ina maana hujaiona SA au???
 
Ndio mjifunze mkituroga na malimbwata yenu ya kumani msidhani hayana expire date, Wema amemuonea sana Diamond malipo ni hapa hapa.

Hhhhaaaaa sie tunagombanaga humo humo tu hapewi likizo mtu
 
Mmh!! Ila zari nae akitoaga dongo lake wala hapanick ila huo ujumbe lazima uchanganyikiwe, mmh yule kiboko asewh

Zari kiboko wengine watatoa madongo halaf wanafutaa yeye walaaaa aisee kama ile analeta housegirl toka Us ni kibokooo
 
Nilishafanya kwa mhindi mmoja kariakoo, nikavunja ndoa yake kwa umbea, maana boss wangu alikuwa kiwembe hatar, nilikua namuendesha, basi kutwa yeye kupakiza wanawake na kwenda nao guest, kama kawa cha umbea nikafanya yangu na kaz nkafukuzwa

mmh mh nh!!!!! kumbe unawezagombanisha ulimwengu wewe ongeza juhudi uwe wa kimataifa
 
Heee hu uwembambaa nani anautaka hebu nenda gym utngeneze six pack nyoooo

Mwembamba hatar, mbea toka lini akanenepa? Kutwa kuwaza ya watu na kuumizwa na maendeleo ya watu unaanzaje kunenepa?
 
Hivi inakuaje mtu achukizwe au kuumizwa na ndoa ya watu ambao hana uhusiano nao??! Akichukizwa Wema au Ivan, naweza kuelewa kinyume chake ni kujitafutia stress za kujitakia!

roho mbaya husda na chembechembe za uchawi


Special invitees tu, wanaenda walioalikwa tu, kama hujaalikwa usubir tu kuona picha instagram

si mbaya ht picha pia watuoneshe
kuna tofauti kubwa kati ya wema na zari ht akili zao ni tofauti
zari kweli bingwa
 
Mbea yupi jamani niombe urafiki? Maana mie rafiki zangu wote wambea hatari, mtaa mzima wanatuogopa, warumi akipita lazima wajifiche, chezeya rais wa wambea anapita lazima ukimbie

Mke wa babu nanliu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…