Ukweli kuhusu nguvu za kiume

Ukweli kuhusu nguvu za kiume

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Ukweli ni kuwa hakuna kijana aliyeathirika na nguvu za kiume
Kuna mambo kadhaa hufanya mtu aonekane hana uwezo wa tendo ipasavyo.

1: Hili suala linategemea sana ushirikiano wa wote wawili, wanawake wengi huacha mwanaume ndio afanye kila kitu, kumuandaa mwanamke na anapoona tayari basi achome ndani, mwanamke atalala tu kama gogo vile, kwa waliokutana na watoto watundu wanaelewa nachosema.

2: Kulala na mwanamke ambae hakuvutii, unakuwa umepelekwa na tamaa tu lakini mwanamke ukimuangalia unaona kabisa hapa nimejichanganya.

3. Ongezea na wewe.

NB: Binafsi nimekutana na watu niliokesha nao saa 4 usiku mpaka 11 alfajiri hakuna kulala. Na kuwa watu hata hilo goli moja najilazimisha kwa vile tu tushaingia chemba, kulinda heshima na utu maana hawakawii kutangaza jogoo hawiki.
 
Ni maradhi kama maradhi mengine watu wenye tatizo watafute tiba kwa wataalamu wa afya.
 
Nahisi kunavitu hua vinachanganywa na wengi kati ya vifuatavyo.
  • Kupungua Nguvu za Kiume/Kike: Inahusiana na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa kuridhisha.
Mwanaume: Hali ya kutoweza kudumisha mkazo mda wa shughuri.
Mwanamke: Hali ya kutoweza kudumisha msisimko au kupata hamu ya tendo la ndoa.
  • Mwanaume Kushindwa Kumpa Mimba Mwanamke: Inahusiana na uzalishaji wa mbegu zenye afya za kiume zinazoweza kurutubisha yai.
Matatizo ya kimwili, maumbile, au homoni yanayoathiri uzalishaji na utoaji wa mbegu za kiume.
  • Mwanamke Kushindwa Kupokea Mimba: Inahusiana na uwezo wa mwanamke kubeba mimba hadi kufikia muda wa kuzaliwa.
Matatizo ya ovulation, mirija ya uzazi, mji wa uzazi, na maambukizi yanaweza kuwa sababu.
 
Back
Top Bottom