Salaam jf..., naomba msaada wa kujua ukweli kuhusu hizi course zinatolewa na vyuo vya nje.Nimepata admission ya kusoma masters degree on line.Mwenye ufahamu zaidi anisaidie maswali haya yanayo ni tatiza
1.ukimaliza sokoni/ajira unatambulika vizuri kama aliye attend regular
2.mitihani inafanyikaje?
3.unapewa guide ambaye utakuwa unawasiliana naye?
4. Utajuaje chuo ulichoomba kinatambulika kimataifa
natanguliza shukrani ......,nawatakieni pasaka njema