Ukweli kuhusu points za kuingia chuo 2014/2015 ni huu hapa

mi nina hz alama
Phy-D
chem-B+
Bios-B
Vp hapo naweza ingia muhimbili (Doctor of medicine)
 
Co inakuwaje kwa mwenye CCD, hist~C,geo~C, na kiswa~D, anaweza kwenda chuo?
 
mi nina hz alama
Phy-D
chem-B+
Bios-B
Vp hapo naweza ingia muhimbili (Doctor of medicine)
MUHAS hatupokei watu kama nyie pamoja na kupendelewa na kushushiwa marks bado mnapata C na D enzi zetu I mean kuanzia mwaka jana kurudi nyuma kwa matokeo yako ungekuwa na div 3 ya 13 au ya 14 kama cjakosea sasa MUHAS ndo wakuchukue kwa matokeo hayo
 
MUHAS hatupokei watu kama nyie pamoja na kupendelewa na kushushiwa marks bado mnapata C na D enzi zetu I mean kuanzia mwaka jana kurudi nyuma kwa matokeo yako ungekuwa na div 3 ya 13 au ya 14 kama cjakosea sasa MUHAS ndo wakuchukue kwa matokeo hayo

Kweli ndugu yangu botafongo unayoyasema ni sahihi kabisa mana huu ndo mwanzo wa kutuletea madaktar feki
 
EEE una point 3. jiandae na udom

msidanganyane kwa alama za zamani kwa vyuo vya serikal ukisoma miongozo yao wanataka si chin ya point 5 kwa masomo 2 kwa maana a minimum of C and D mkidanganyana kwa alama za kisasa msipo omba vyuo vya private Mtabwela home.Dunia ya sasa niyaushindan angalieni wenzenu walivyo pasua halaf unamwambia mwenzako asubir UDOM
 
jaman ktk kila kitab kuna non profit na profit sjaelewa palee...thn kuna uwezokano kusoma koz chet cha fm 6 hakiruhs ila six kinaruhs
 
BCD,B=3,C=2,D=1,BCD=3+2+1=6,since 6>2 hapo ni poa mkuu.
KUMBUKA MINIMUM ADMISION IS 2 POINTS.
Yes. its 2 points but from 2 subjects, not three subjects
"7. Minimum entry requirements for Admission into Higher Education Institutions
The minimum entry requirements set by TCU and NACTE to join HEIs are as follows:
a) For F.6 applicants the minimum entry qualification is two principal passes in A-Level with a total of 2.0
points and three credits at ‘O’ Level." Source TCU guidebook 2014/2015 page 9
 
Universities zimekuwa kama EAGLE WINGS TRAINING COLLEGE, AMAZON. Kila mtu anawaza kuingia university.Colleges zina kazi gani?
 
BCD,B=3,C=2,D=1,BCD=3+2+1=6,since 6>2 hapo ni poa mkuu.
KUMBUKA MINIMUM ADMISION IS 2 POINTS.

Acha kudanganya watu wewe, chuo kikuu zinahitajika prinsipo pass mbili, na hata kuhesabu unahesabu mbili ulizofanya vizuri, kwa hiyo huyo yuko na 5pts bana
 

Sijaangalia hii new system vizuri. Je kuna S yaani subsidiary pass kwenye new system??? Kama jibu ni hakuna basi hakuna matata.
 
Acha kudanganya watu wewe, chuo kikuu zinahitajika prinsipo pass mbili, na hata kuhesabu unahesabu mbili ulizofanya vizuri, kwa hiyo huyo yuko na 5pts bana
UPO SAHIHI MKUU,LAKINI MAANA YA MINIMUM ADMISSION POINTS IS 2 WITH ATLEAST 2 PRINCIPAL PASS NI HII HAPA.
Unaweza ukawa na point hata kumi lakini ni lazima ziwe zaidi ya mbili na angalau uwe na pass mbili means unaweza ukawa na zaidi ya mbili haina maana ukiwa na pass tatu wao wanahesabu mbili tu..............na kuhusu kuhesabu integemea na mahitaji ya kozi husika in preferences na masomo wanayoyataka eg.Doctor of medicine KAIRUKI wanahitaji pass ya chemistry na biology tu wakati MUHAS wanahitaji pass ya physics,chemistry and biology,ni hayo tu mkuu hopefully tumeelewana.
 
kwa maana hiyo kuna wenye division 4 wata'join chuo?
mfano mwenye BEE?
 
Mbona Necta Walishatoa mchanganuo Kwamba Atleast Anayeweza Kuingia Chuo Awe na CCD...TCU WALIITISHA SEMINAR DIAMOND JUBILEE MWEZI WA 6

Hata huyo mwenye hizo CCD bado hakupaswa kuingia chuo kama hizo alama zingebadlishwa kuwa kama za miaka ya nyuma.......masikini TZ yetu inapoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…