Ukweli kuhusu points za kuingia chuo 2014/2015 ni huu hapa

JAmani pass mark ya kwenda chuo ni c..jamani siyo d...kwahiyo kwenda chuo kikuu LA IMA update c mbili na kuendelea not two d..
 
Si kweli D ni sawa E ..passmark ya kwenda chuo no c not d..so point za kwenda chuo ni C 2 not two D.
 
kwa matokea ya sasa mtu mwenye ufaulu wa DDF anauwezo wa kupata chuo kwa sababu hapo tunapata point 2 ambapo hicho ndo kigezo cha chini kabisa kupata chuo according to Tcu guidebook
 
kwa matokea ya sasa mtu mwenye ufaulu wa DDF anauwezo wa kupata chuo kwa sababu hapo tunapata point 2 ambapo hicho ndo kigezo cha chini kabisa kupata chuo according to Tcu guidebook

MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013
linganisha na vya sasa.
Edit Reply Report Post
 
Mimi reference yangu ni http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Undergraduate Admission Guidebook 2014-2015_04_24.pdf ukurasa wa 9 na wa 10 pale,je wewe kama msomi reference yako ni kutoka wapi?
Ni kweli mkuu TCU ndicho walichopost but watatoa press soon nyingine kuonesha utaratibu mwingine wa kujoin chuo..take it from me kuwa principal mark ya ni C mbili name siyo D mbili km walivyoonesha..I say take it from m today kijana kuwa TCU walikosea maelekezo ya baraza LA mitihani.. Wiki ijayo katibu wa TCU atarekebisha..
Ni kweli mkuu TCU ndicho walichoandika
 
Mim nimemaliza form four mwaka jana nimepata 3 and nina pyscs D,chemxtry C bioz B natak niaply DIT nitakubaliwa?
 
Sasa hapo una principle pass 2 mkuu..? Tcu wameshasema minimum entry Qualification ni atleast D mbili.
DUH! Mjanja Wa Town sio mimi ni dogo langu, loh!
mie nilivyokuwa darasa la 6 (std six) mwaka 1994 nikapelekwa moja kwa moja chuo kikuu kwasababu nilikuwa na akili kuwazidi walimu wa sekondari,
 
Last edited by a moderator:
Mim nimemaliza form four mwaka jana nimepata 3 and nina pyscs D,chemxtry C bioz B natak niaply DIT nitakubaliwa?

Hapo utasoma pre-entry na muda wa maombi umeisha ilikuwa nadhani ni wiki iliyopita,
 
Kweli mkuu! Principal pass 2 wanahitaji ambazo ni C ila D sio principal pass ni pass,source TCU guidebook 2014/2015 ,wanachofanya TCU wana translate marks mpya kwenda za zamani,principal ni C,wasome vizuri guidebook 2014/2015
 
Ni kweli mkuu,TCU wame-update kitabu cha guiding book kinaonesha principal pass kuwa ni C,D is only a pass according to the guiding book.
 
Ni kweli mkuu,TCU wame-update kitabu cha guiding book kinaonesha principal pass kuwa ni C,D is only a pass according to the guiding book.

kwahyo C ina thamani ya point 1 au 2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…