Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Wakuu
Leo kwenye taarifa ya habari azam tv ,kuna habari wamerusha ya mtoto wa darasa la 3 huko ruvuma kua alibakwa na kupelekea kupata mimba,
Wazazi wake wala walimu hawakugundua hilo mpaka mimba ilivyofikisha miezi minne ,sasa wakuu swali langu ni hivi mimi sijaelewa inawezekana vipi mtoto abakwe na mtu mzima na arudi kwao wasigundue ? Hata kwa kumuangalia anavotembea tu ? Tunafahamu mtoto akibakwa anapsta maumivu makali je hii imekuaje mtoto huyu hakupata ?
Kwa kuongezea pia,kuna doc moja niliona humu JF ya kesi ya babu seya ,kulingana nayo wale watoto pia hivo hivo walibakwa karibu kila siku na walirudi kwao bila kugundulika
Je wakuu hili limekaaje ? Personally hua sielewi kabisa ,mtoto kubakwa na mtu mzima na kurudi home bila kugundulika