Ukweli kuhusu udsm kuchafuliwa.... Mimi natubu.....

acha za kisenge charii!! kama we unaamini kuwa nyani ni bora kulikio kuwa binadam hapo sawa.....mlosoma zamani mlikuwa maboya tena ile kisoro!!....
 
binafsi nimemshangaa sana mleta mada unless aniambie ameajiriwa na udsm kama PRO kwa kazi ya kutengeneza good image of the institution mbali na hapo, ni ujinga wa hali ya juu kuona mtu mzima na akili zako unaleta mambo ya chuo gani kizuri, dogo maliza kwanza chuo then ukiweza kuparangana na maisha na kutoka kwenye umaskini kwa juhudi zako peke yako kama degree holder ndio utaheshimika na elimu yako itakua imekusaidia na sio maswala ya ushindani wa kipumbavu, idiot!
 
Kivipi ungefafanua kidogo ila ukumbuke sio kozi zinatolewa pale udsm, mf medicine, agriculture and relalted course, maswala ya Ardhi nk

hizo zote zilikuwa zina tolewa tatizo viongozi wetu wapenda takwimu tuna vyuo vingapi.....ndo maana mpaka wanafunzi waliomaliza mwaka jana muh2 wana demand wao ni ud graduate ndo mwamvuli walio ingia nao.....simply ypu can not compare ud with any local univerdity atleast tunaishukuru tcu now uspecial wa ud unapungua ingawa cut point zitazid kuilinda ud
 

wao wanaoponda wamesoma wapi???na kwanini watu wote wasome UDSM????
 

wao wanaoponda wamesoma wapi???na kwanini watu wote wasome UDSM????
 
Hapa kuna mambo yakitaalamu tunakiwa tuyajue kwanini huwa kunakuwa na university college then baadae zinakuwa university kamili, tuache ushabiki wa kisiasa wa kushabikia majina ya vyuo, pia ukumbuke tunachangamoto ya idadi ya watu sasa hatuwezi tukawa na chuo kikuuu kimoja tu kwa inchi kama tz yenyewe watu zaid ya 45M sasa hao wanaotaka lazima iwe udsm itakuwa hivyo mpk lini na huku idadi ya form 6 inaongezeka, kama iliwezeka kuanzishwa SUA 1984 ikitokea UDSM kama faculty ya AGRICULTURE kwanini isiwe na fani zingine.
 
Kweli mtoa mada hili ndio jambo la maana sana ulilowaza?
 
hv bado kuna wa2 wanadiscus kusoma ud? Na walosoma havard wasemeje?peleken ukilaza wenu huko !!!

Umeona eeh,,yani ni sawa na kipofu anadanganya vipofu kuwa kaona mwezi..mwee
 
Weweweweweeeeee ishia hapo hapo kwani udsm hakuna vilaza labda ulikuwa wewe....udsm ni miongoni mwa vyuo bora africa na duniani kwa ujumla... Thn hakuna chuo kingine kinachoweza kulinganishwa na udsm kwa tanzania...udsm ni levl ya capetown univrsty kijana....na kwa taarifa yako kwa rank ya vyuo bora afrika kwa 2012 udsm imekuwa ya 11 wakati vyuo vingine hata kwenye list havipo......upo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…