INNOVATOR, CREATIVE, and A RISK TAKER.
Nyenzo muhimu sana kwa mtu anayetaka kua kwenye fani hii ya ujasiriamali. Kuna ukinzani kua hawa watu hua wanazaliwa na hizi chembechembe (TRAITS) au mazingira yanawatengeneza?
Mfano halisi ni BANANA INVESTMENT, mmiliki na mzalishaji wa kinywaji cha Banana.
Nafanya biashara tu, make nikisema Ni full mjasirimali utakuwa ni uongo make sina zile feature zote za Ujasirimali, so ni biashara tu, ila nafanya na kazi, Ingawa natarajia kuachana na Kazi mapema mwakani mwezi wa Nnne, Nachukia sana Ajira ya kuajiriwa na niataacha rasimi kwa sababu sioni Faida hata ningefanya kazi miaka 40, so miaka 4 niliyo fanya inatosha kabisa. Ila siku naachana nayo rasimi nitawaletea story kamili,
Ya mkuukuna hapo kwamba wapo Born na wapo Made, Born wanazaliwa nazo na Made ni wale wanao zipata kupitia elimu, ilala all in all hata kama ni made ni lazima uwe na chembechembe ulizo zaliwa nazo, haijalishi itachukua muda gani kuja ku practise lakini lazima uwe nazo,
Mara nying Mazingira hutumika kukuforce/kuharakisha kupractise, Ila kama huna hiyo Spirti hata ungesoma ni kazi bure, ya Jamaa wa Babana ni Moja wa Wajasirimali kwa sababu jamaa hata alivyo anza na alipo sasa ni kazi ngumu sana,
Na mara zote Ujasirimali ni Mugumu sana ila Kufanya Biashara ni Rahisi sana,
"Mjasiriamali wa kweli, huwa haitaji mtaji zaidi ya ujuzi/elimu/kipaji alichonacho na rasilimali zinazomzunguka katika kuanza biashara".Exactly True:
Ni kweli kwamba sio wafanyabiashara wote ni wajasiriamali, Je wajasiriamali hawafanyi biashara ? ?
Je wajasiriamali wote wamefanikiwa kimaisha au ni matajiri ? ? kwa maana hiyo hakuna mjasiriamali maskini..
Je hao wafanyabiashara/wachuuzi wanaweza kufanikisha maisha yao ? ? na wao wanatajirika ? ?
KUMBUKENI WATU WANATAFUTA UTAJIRI/ MAISHA BORA KWA NAMNA YEYOTE ANYOONA ANAWEZA KUFANYA NA KWA BIDII YAKE YOTE AIDHA NI MCHUUZI AU NI MJASIRIAMALI IT DOESN'T MATTER KWANI HATA MADARASANI VYUONI WAPO MAGENIUS NA VILAZA NA WOTE WATAPATA DEGREE..