Ukweli Kuhusu usemaji wa Haji Manara

Ukweli Kuhusu usemaji wa Haji Manara

lodirofaa

Member
Joined
Jul 6, 2021
Posts
25
Reaction score
62
Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo

Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu waulize wanamjua msemaji wa timu yao? Sizani Kama Kuna anaemjua kma wapo wachache LAKINI timu haifanikiwi?

Timu ili ifanikiwe inahitaji pesa, uongozi mzuri na good scouting basi msemaji ni mtoa taarifa tu

Kilichopo bongo tulichelewa kwa kuwategemea wasemaji wenye mbwembwe kutuaminisha kuwa time zetu ni Bora Kama Simba itakuwa na pesa,uongozi Bora, na kamati nzuri ya usajili itafanikiwa bila Manara

Tukirudi kwenye boss Wana Msimbazi boss hatuna tumepigwa haiwezekani mtu anapata faida alafu ansjifanya hapati faida Sasa anasubiri Nini? Mo anatengeneza mazingira ya kuonekana bila yeye hatuna chochote ni uongo faida anapata Tena nyiiingi angalia jezi ya Simba alivyoijaza matangazo

Pia ikumbukwe mo sio mzamini mo ni mwanahisa wa Simba yupo pale kupata faida sip kutisaidia pia akiicha Simba saivi Simba ipo mfumo wa hisa unampata mtu mwingine Seema wengi hapo hawajaelewa

Leo mo akiondoka wawekezaji wengine watakuja kwakuwa Simba ni kubwa saizi
 
Ngoja nisaini daftari la maudhurio hapa kazini, kisha nikae kitako.
Umefika na kazini duh pole aisee ujalala kabsa jichange ujiajir mkuu duh saa 1 na dk 20 asubuh ushafka kazn[emoji849][emoji849]
 
Ngoja waje wenyewe na mikucha yao uone watakavyokuparua parua......
 
Sisi ni Simba Sports Club. Wafanyakazi watapita lkn Club itabaki
Nalog off
 
Shida ilianza hapa
FB_IMG_16283163603417881.jpg
 
Usilinganishe Real madrid na mikia unaweza fungwa wewe miaka 30 wanao wakateseka
 
Back
Top Bottom