SheriaE
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 606
- 447
Za mihangaiko jamani,
Samahani kuna maneno niliyowahi kusikia kuhusu vitunguu je yana ukweli wowote.
kama;
1. Vitunguu vinasababisha mtu kuwa mrefu.
2. Vitunguu vinasababisha harufu mbaya kinywani.
NB:Haswa vikiliwa vibichi kitu kama hiko.
Ni haya tu wakuu sijui kama kuna mengine.