mbona kule morogoro kwa walugulu vinalimwa sana alafu wale jamaa ni wafupi vile.... au ni urefu wa kitu gani vinaongeza
inaongeza urefu was nini isije kuwa deal mkuu nkapata pesa
Jimmie Gatsby ni urefu wa mwili me kuna pahala nilisikia ila ni kama hakuna ukweli.mmmh hizi tafiti hizi,ina maana wale wafupi walikuwa hawaweki vitunguu kwenye mboga?AU UNAMAANISHA UREFU UPi???
owky mkuu nimekupata... ila hyo tafiti nna mashaka nayo 😂😂😂Jimmie Gatsby ni urefu wa mwili me kuna pahala nilisikia ila ni kama hakuna ukweli.
Perfectz sio kwenye mboga yaani vikiliwa vibichi.
Fundi bishoo ni wa mwili tu mkuu so kingine, kwamba ni specific kwa kiungu fulani la hasha.
all in all inawezekana hakuna ukweli me nilitaka kupata tu ukweli kuhusu haya, pia kufahama kama kuna mengine.
Msaada plse, maana mm mafua hunisumbua sana!Mie najua ni dawa tosha ya mafua faster yanakauka
kata vipande kwa upana vaa soksi weka hvyo vipande kwenye unyayo ukiweza vibadirishe kila masaa matatu wese lazima likate
Asante, mkuukata vipande kwa upana vaa soksi weka hvyo vipande kwenye unyayo ukiweza vibadirishe kila masaa matatu wese lazima likate