Ukweli kuhusu WWE mieleka

kuna tofauti kati ya mieleka ya ushindan na mieleka ya burudani, mieleka ya ushindani haina mvuto sana kama ya wwe
 
Think outside the box, usiwe unachotwa kirahisi hivyo. Point ni kwamba hizo circus zao huwa scripted na zinakuwa rehearsed, betting can never turn that shit into a real sport.
So betting turned that shit into what??
 
Ulichosema kwa kiasi flani ni kweli ila hawa majamaa wana mafunzo maalumu, na unavyoona jukwaani ni halisi kabisa. Sema visa hupangwa ili kupata sababu ya kuvuta hisia za watazamani. Kama ni mfatiliaji mzuri utagundua mechi zenye washabiki wengi ni zile zinazotokana na visa na majigambo, vinginevyo mchezo usingekuwa na washabiki.

So jukwaani ni vitendo halisi (Ushahidi kutoka kwa waliofika jukwaani kutazama)
 
Umesema kweli
 
Fulamu na Sanaa za Maigizo zinazajiriwa BASATA.
Mieleka inasajiriwa BMT.
Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Fulamu na Sanaa za Maigizo zinazajiriwa BASATA.
Mieleka inasajiriwa BMT.
Mwenye macho haambiwi tazama.
Tofautisha kati ya mchezo wa mieleka kama inayachezwa kwenye Olympics na burudani(entertainment) za WWE.
 
Kazi za Sanaa na Maigizo zinazajiriwa BASATA.
BMT Inasajiri Michezo halisi.
Tofautisha kati ya mchezo wa mieleka kama inayachezwa kwenye Olympics na burudani(entertainment) za WWE.
 
Kazi za Sanaa na Maigizo zinazajiriwa BASATA.
BMT Inasajiri Michezo halisi.
Soma mada kama ilivyoletwa, inazungumziwa WWE na si mchezo wa wrestling wa mashindano.
WWE is fake,scripted and rehearsed kabla ya kuingia ulingoni. Au siku hizi WWE imesajiliwa BMT? Kkkk.....!
 
Kwa hiyo mkuu unataka kutuaminisha kuwa huwa Wana kula vyakula maalum na kadawa ili watune na si mazoez
 
Mchezo ya kupangwa....tu
Ni kama maigizo

Ova
 
hujielewi
 
hujielewi
Wewe ndio hujielewi, na Wala huelewi nini kinaendelea.
Mchezo ya mieleka uliwahi kuchezwa hapa nchini Tanzania.
We sijui ulikuwa wapi wakati huo.
Wengi wanashindwa kuuelewa mchezo wa Mieleka kwakuwa wanaufananisha na mchezo wa ngumi.
Mieleka ni mchezo wa kipekee na unasheria zake.
Usipoujua utaona kama wanaigiza.
Kwani hujui aina ya Michezo ya mieleka.
Kuna shindano lenye sheria ngumu na shindano lenye sheria nyepesi yaani free style wrestling ambalo unaweza kutumia silaha kama viti nk.
Mimi ni mdau wa siku nyingi wa huo mchezo.
Kwa kuuthibitisha nenda BMT pale Taifa kaulize usibaki unapinga kitu usichokijua.
 
uongo, hujui lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…