Ukweli kuhusu WWE mieleka

Lakin wacheza mieleka Hata hapa Tanzania walikuwepo.. so nao walikuwa fake?
 
Hii kitu nilikua napenda sana miaka ya nyuma kipindi cha kina undertaker, john cena, jeff hard, tripple H, shawn michael, great kali, bigshow, rey mysterious, evance bone, randy otton, Edge, Bautista, na wengine wengi
 
Hata Mimi najiuliza hili swali
 
Iko hivi mchezo tuachieni sisi mieleka ni kweli sema tu sababu ya mechi ndio unaweza sema nimaigizo
Mfano pambano la underteka na johncena kabla halijapangwa lazima kuwe na sababu eg kurushiana maneno kuhalibiana mechi nk but siku ya pambano lao huwa ni ukweli kabisa
 
Angalia mechi ya Block Lisner na Seth Rollins kwenye YouTube iliyochezwa karibuni ya kugombea mkanda.
Utaona ukweli wake.
Hakuna mtu kuingilia wala ujanja ujanja, hiyo ni mechi halisi.

uongo, hujui lolote
 
Fulamu na Sanaa za Maigizo zinazajiriwa BASATA.
Mieleka inasajiriwa BMT.
Mwenye macho haambiwi tazama.
According to wikipedia wrestling au mieleka inaeza kuwa competitive(ya mashindano) ambayo hapa Tz husajiliwa na BMT, na pia kwenye olympic pia watu wanashiriki.

Pia kuna proffessional (Pro wrestling) ambayo ndio km WWE ambayo ni theatrical entertainment yaan maoneasho.

Mtoa maada amezungumzia pro wrestling. Wataalam wanasema pro wrestling ni fake 75% sababu mechi inakua pre determined na wale wrestlers wanapractice kabla ya match kufanya zile stunts. Lakini ni real kwa 25% sababu wale wrestlers wanaperfom real moves ila zishakua scripted, lakini pia wanacollide against each other au floor hivo kupelekea mchezo kuwa hatari na mara nyingine kupelekea watu kuumia.

Hivo pro wrestling maonesho yanayohusisha vitendo vya ukweli
 
Hata Mimi najiuliza hili swali
Tatizo wengine hawaujui mchezo wa Mieleka.
Wanataka ufanane na mchezo wa ngumi au Ile Mieleka ya akina Khabib ya kukabana.
Mchezo wa Mieleka una vionjo vyake huwezi kuucheza kavu kavu, ni lazima u intertain washabiki waliokuja kuuangalia.
Ujikiuka Kuna Polisi wanakuja kukukamata Kama alivyo kamatwa aliyetaka kumvunja shingo Block Lisner na akafungwa na pingu kabisa.
Kama hamuuijui Mieleka mutuulize sisi wadau tutamielekeza na sio kujifanya much know.
 
Dah all in all WCW ilikuwa tamu balaaa! WWF nayo ilikuwa bomba baadaye nikaloose interest. Sasa watoto wangu ni km wamerithi! Mpaka majina wamegawana
 
Naangalia mieleka since 1996 WCW monday nitro! Mpaka leo hii sijaona huo u fake wake. Kuna game zinakuwa za entertainment sawa lkn most championship ni serious cases! Qualification matches halafu mdau utapata wapi kitu safi kama wrestling? Ndo maana dunia nzima inapendwa.
 
Ni kweli kabisa.
Wengi hawajui aina za mapambano.
 
Ni kama movie tu za action tu
 
Angalieni ile Mieleka ya kukabana na kuvunjana shingo ya UFC ya akina Khabib Nurmagomed
Nadhani itawafaa.
Tuachieni wadau wa WWE tuendelee kuangalia mieleka ya kisasa, na yenye
kufurahisha.
 
Hizi zote ni akili za tunaoangalia kwenye TV. ila wanaoishi uko unakochezwa huo mchezo wakaona kwauhalisia wanaoucheza wanaweza wakawa na mawazo tofauti.
 
Mieleka ni kama movie, utofauti wake Ni kwamba mieleka inachezwa laivu
 
kwahiyo wanachagua mshindi awe Seth Rollins au Broc Lesnar na wengine wote iwe kama majambazi kwenye movie?

naweza kukubali katika kutengeneza matukio lkn sio katika kuandaa washindi
Kilakitu huwa scripted na rehearsed, haitatokea hata siku moja ukaona hayo maigizo ya WWE yakawa mashindano/michezo halisi.
 
Yaani Pambano la Seth Rollins na Block Lesner la kugombea mkanda liwe la kutaniana na kuigiza.

My Wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…