Ukweli kuhusu Zanzibar na Dar yes Salaam

Ukweli kuhusu Zanzibar na Dar yes Salaam

Majanga90

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
77
Reaction score
12
Jamani kuna tetesi kuwa baadhi ya sehemu za Tanganyika ni milki za Zanzibar na ndio maana tunaogopa kuvunja muungano na moja ya maeneo yanayoongelewa ni jiji la Dar es Salaam na baadhi ya miji kama Kilwa,Mafia n.k
Jamani mwenye ukweli kuhusu hizi tetesi anifahamishe.
 
Ni ukweli mkuu. Zanzibar inajumuisha maeneo yote yenye bandari, kwamaana kwamba dar, bagamoyo, kilwa, na sehem zote zenye bandari kwa Tanzania hii hadi Mombasa inaingia. Kwa tafsiri nyengine Bara (Tanganyika) haina bandari. Tanganyika inaanza km 10 kuanzia ilipoishia bandari. Muungano mnautaka hamuutaki?
 
Kwa mkataba upi? Wa mwarabu, mjerumani au mwingireza. Mkijafanya mnajua historia muweke na facts.
 
Endeleeni kuleta facts za kikoloni hapa,tutawachapa afu hako kazanzibar sasa katakua ka mkoa kwa lazima.....
 
Yes! Ni historical fact.
Wewe kweli SIMPLEMIND. Consult your history. Hiyo ilikua ni muda mrefu kabla ya Berlin conference. Na sultan alimiliki si km 10 ndani ya Dar tu bali ni mpaka Mombasa na Lamu huko Kenya,pwani ya Somalia na Pwani ya Mozambique. Kwanza sultan alikuja akawauzia wajerumani eneo la pwani ya Tanganyika lakini baadae Mkataba wa Berlin ukaja kuweka sawa mipaka,Mombasa na Lamu vikawa Kenya chini ya waingereza,Tanganyika na pwani yake yote ikawa chini ya mjerumani,Mozambique na pwani yake yote akawa chini ya mreno na somalia waliendelea kutawaliwa kiaina na warumi. Sultan alitawala visiwa vya unguja na pemba tu. Sasa leo hii wewe mzanzibari kawaambie Kenya kwamba Mombasa na Lamu ni kwako sababu alitawala sultan uone chamoto
 
Hivi ni lini huo mkataba wa Berlin ulishavunjwa au kifutwa
 
Endeleeni kuleta facts za kikoloni hapa,tutawachapa afu hako kazanzibar sasa katakua ka mkoa kwa lazima.....
mimi navyoelewa baada ya ujerumani kuondoka na waingereza kushika hatamu,waliendelea kulipa lease ya ukanda wa pwani kwa miliki ya zanzibar.

Huko kenya wakati wanapata uhuru,kenyatta ilibidi walonge na waziri mkuu wa kwanza wa zanzibar mohamed shamte kuhusu mombasa.
Sijui kambarage alifikia makubaliano gani na sultan.kwani alipopinduliwa,alikimbilia dar,nyerere akampokea kabla hajaenda uingereza.
 
Back
Top Bottom