Ni ukweli mkuu. Zanzibar inajumuisha maeneo yote yenye bandari, kwamaana kwamba dar, bagamoyo, kilwa, na sehem zote zenye bandari kwa Tanzania hii hadi Mombasa inaingia. Kwa tafsiri nyengine Bara (Tanganyika) haina bandari. Tanganyika inaanza km 10 kuanzia ilipoishia bandari. Muungano mnautaka hamuutaki?
Wewe kweli SIMPLEMIND. Consult your history. Hiyo ilikua ni muda mrefu kabla ya Berlin conference. Na sultan alimiliki si km 10 ndani ya Dar tu bali ni mpaka Mombasa na Lamu huko Kenya,pwani ya Somalia na Pwani ya Mozambique. Kwanza sultan alikuja akawauzia wajerumani eneo la pwani ya Tanganyika lakini baadae Mkataba wa Berlin ukaja kuweka sawa mipaka,Mombasa na Lamu vikawa Kenya chini ya waingereza,Tanganyika na pwani yake yote ikawa chini ya mjerumani,Mozambique na pwani yake yote akawa chini ya mreno na somalia waliendelea kutawaliwa kiaina na warumi. Sultan alitawala visiwa vya unguja na pemba tu. Sasa leo hii wewe mzanzibari kawaambie Kenya kwamba Mombasa na Lamu ni kwako sababu alitawala sultan uone chamotoYes! Ni historical fact.
mimi navyoelewa baada ya ujerumani kuondoka na waingereza kushika hatamu,waliendelea kulipa lease ya ukanda wa pwani kwa miliki ya zanzibar.Endeleeni kuleta facts za kikoloni hapa,tutawachapa afu hako kazanzibar sasa katakua ka mkoa kwa lazima.....