Ukweli kuhusus mazoezi ya kegel

Ukweli kuhusus mazoezi ya kegel

drugdealer

Senior Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
133
Reaction score
245
binafsi mazoezi ya kegel husasan ni lile la BRIDGE EXERCISE nimekua nikifanya kila asubuhi nimeona kuna changes kwenye uume yani uume ukisimama unakua mgumu afu unatengeneza kama msitari katikati yani tumeseme uume umekatia kama ilivyo kwenye chest ...
Em nawe tujuze kwa upande wako kuna changes yoyote!?
 
BABA WA TAIFA ALIPAMBANIA SANA TAIFA LETU KUPATA UHURU.
LEO KAMA VIJANA NDIO HAWA
INASIKITISHA SANA.

"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Mtoa mada ana hoja mkuu,ukiwa mbovu kunakoshughuli jeuri utaitoa wapi?!
 
BABA WA TAIFA ALIPAMBANIA SANA TAIFA LETU KUPATA UHURU.
LEO KAMA VIJANA NDIO HAWA
INASIKITISHA SANA.

"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Ta
we mchango wako ni upi katika taifa mzee ambao wengine hawautoi ? kama ni kodi nasisi pia tunalipa
 
BABA WA TAIFA ALIPAMBANIA SANA TAIFA LETU KUPATA UHURU.
LEO KAMA VIJANA NDIO HAWA
INASIKITISHA SANA.

"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
Kwa hiyo vijana wasitombe,kutakua na taifa kweli!?
 
BABA WA TAIFA ALIPAMBANIA SANA TAIFA LETU KUPATA UHURU.
LEO KAMA VIJANA NDIO HAWA
INASIKITISHA SANA.

"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
🤔🤔🤔 ivi je ww enzi ya usichana wako uliipambaniaje taifa ili tukuige kwa mazur?
 
Back
Top Bottom