Nadhani ni wewe ndiye unayepaswa kujitambua na kutoka katika mtizamo wako wa chini wa 3D unaoukandamiza ufahamu wako nakukufanya kuwa mtumwa wa programu kama hiyo unayoitaja na badala yake jitahidi kuamka (4D) hili ujitambue (5D) na mwisho utaelewa kilichoandikwa.