Huu ndio ukweli uwezo wa kocha Amunike ni mdogo na hawezi kuleta mabadiliko yoyote, ni aheri tungebaki na kocha wetu mzawa Salum Mayanga japo naye alikuwa na madhaifu yake fulani ambayo naamini kama angepata ushauri ange weza kujirekebisha, ila huyu Amunike kwanza anaokena ana ubaguzi kwa wachezaji na kwa hili hata kama atapewa timu na maandalizi ya hali ya juu kiasi gani hatuta pata mafanikio yoyote, kwa ujumla tu ni kwamba huyu afukuzwe mapema kabla haja poromosha kiwango chetu cha soka.