Hebu fafanua hapo kwenye ubaguzi maana naona wote ni watanzania tena waafrika hakuna mtanzania mzungu au mu eshia wote ni watanzania wabantuHuu ndio ukweli uwezo wa kocha Amunike ni mdogo na hawezi kuleta mabadiliko yoyote, ni aheri tungebaki na kocha wetu mzawa Salum Mayanga japo naye alikuwa na madhaifu yake fulani ambayo naamini kama angepata ushauri ange weza kujirekebisha, ila huyu Amunike kwanza anaokena ana ubaguzi kwa wachezaji na kwa hili hata kama atapewa timu na maandalizi ya hali ya juu kiasi gani hatuta pata mafanikio yoyote, kwa ujumla tu ni kwamba huyu afukuzwe mapema kabla haja poromosha kiwango chetu cha soka.
Haukusikia kauli yake kuwa Timu ya taifa sio simba kama kocha hastaili kuwa na kauli kama hizo, hizo ndizo kauli za kibaguzi unadhani wachezaji wa simba watajisikiaje kwa kauli kama hiyo.Hebu fafanua hapo kwenye ubaguzi maana naona wote ni watanzania tena waafrika hakuna mtanzania mzungu au mu eshia wote ni watanzania wabantu
Huu ndio ukweli uwezo wa kocha Amunike ni mdogo na hawezi kuleta mabadiliko yoyote, ni aheri tungebaki na kocha wetu mzawa Salum Mayanga japo naye alikuwa na madhaifu yake fulani ambayo naamini kama angepata ushauri ange weza kujirekebisha, ila huyu Amunike kwanza anaokena ana ubaguzi kwa wachezaji na kwa hili hata kama atapewa timu na maandalizi ya hali ya juu kiasi gani hatuta pata mafanikio yoyote, kwa ujumla tu ni kwamba huyu afukuzwe mapema kabla haja poromosha kiwango chetu cha soka.
Huo ndo ukweli wenyewe ile n taifa starz na sio simba wala yanga ile n taifa starz mchezaji yeyote yule ambaye kocha anaona anafaa atacheza. Haya matimu simba na yanga hayana hata mafanikio yoyote bado tunayawaza na kuyakumbatia . Mchezaji atacheza kutokana na kiwango chake haijalishi anacheza timu gani!!!. Angekua ana kisasi na simba au yanga manula, yondani au feisal toto wasingecheza, wamecheza kutokana na viwango vyao.Ushahidi ni alipoulizwa na ripota wa Azam baada ya mechi kwanini hakuwapa nafasi mapema Boko,Feisal Toto na Mkude alijibu kwa hasira. "This is Taifa Stars not Simba"
Alijisahau kwamba Feisal sio mchezaji wa Simba.
Anaonekana ni mtu wa visasi nakutoshaurika.Alifanya kosa hili hili kule Cape Verde tukafungwa 3.
FC Khartoum haikumtimua bure lazima wahusika wafuatilie.Timu ya Taifa inajengwa na wachezaji wa vilabu.
We Mikia FC hapo umeharibu.Kocha yoyote wa Taifa hujenga timu yake kutokana na timu bora ya nchi kwa wakati huo; angalia Uingeleza; Spain nk Kwa mfano Uingeleza timu ilijengwa toka mfumo wa vijana ambao wengi wanacheza Tottenham wa kasi na kuchambulia,.
Sisi kocha kaja na timu inayofanya vizuri kwa sasa ni Simba; kwa hiyo kocha anatakiwa kutengeneza timu ya taifa aki base kwenye mfumo huo na Key Players watoke Simba - wale pray makers wa simba wanajulikana kwa ubora wao.
Sasa kocha anakuja na mfumo mwingine ; team selection mbovu; wachezaji utafiri kawaokota jana na kuwaingiza uwanjani.
Hebu tuambieni jana timu ilicheza mfumo upi?? Niliona wanakimbia kimbia tu.
TFF hebu tutengeneezeeni bechi bora la ufundi bwana!!
Angalieni Simba wanavyochezea mpira hadi raha.
Yooote mtasema, Aishi kaua timu.Makocha wengi kama huyu Amunike ni wazuri kama wanafundisha wachezaji wenye viwango tayari, ndio maana niwazuri kwenye level ya vilabu ambavyo vina pesa za kununua wachezaji wazuri. Sisi hatuna viwango vizuri na wachezaji wengi wanacheza hapa hapa kwenye ligi hii ya mpira huu wa kale.
Tunahitaji mikakati ya miaka mitatu hadi mitano kuwa wazuri. Yaani tutafute kocha wa kutoka ulaya amabae anauwezo wa kukuza vipaji vyetu,atufundishe mpira wa kisasa,atupe link ya vijana kucheza nje ya bara la Afrika, afundishe under 17 ...baada ya miaka mitatu-mitano tutaona faida.
Tuachane na hii timu ya sasa. Yaani nilicheki gemu ni masikitiko tu. tunashindwa kufanya vitu ambavyo ni basics..kuzuia mtu asipige kross..kipa anapangua mpira badala ya kudaka ..au hata akipangua anatakiwa atoe mpira nje ya eneo la hatari ...ukuta wetu watu wanafutaa/waangalia mpira upo wapi badala ya kukaba watu...ovyo kila kona.
Tatizo ni nin xaxTatizo letu sio kocha........Yaani hata leo tukibadirishana kocha na Man City lazima tutaendelea kupigwa tu.
je hao wachezaji tunao??kwa wachezaji hawa tulio nao hata umlete nani hakuna kitu,mpira ni zaidi ya tuuchukuliavyo,samata akiwa uwanjani tu una jua kuwa jamaa anaujua mpira,sasa hawa wengine hata zile A,B,C za mpira tu hawajui na ambazo sio kazi ya kocha wa timu ya taifa bali ni kocha wa kwenye club zao!!Huu ndio ukweli uwezo wa kocha Amunike ni mdogo na hawezi kuleta mabadiliko yoyote, ni aheri tungebaki na kocha wetu mzawa Salum Mayanga japo naye alikuwa na madhaifu yake fulani ambayo naamini kama angepata ushauri ange weza kujirekebisha, ila huyu Amunike kwanza anaokena ana ubaguzi kwa wachezaji na kwa hili hata kama atapewa timu na maandalizi ya hali ya juu kiasi gani hatuta pata mafanikio yoyote, kwa ujumla tu ni kwamba huyu afukuzwe mapema kabla haja poromosha kiwango chetu cha soka.