UKWELI: Mafanikio ya Simba SC Miaka 4 Yamechangiwa Pakubwa na Azam Football Club

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wengi mnazungumza mafanikio ya kutwaa taji mara nne mfululizo ya simba sc pasi na kutoa shukrani stahiki kwa Azam FC.

Ikumbukwe kuwa Azam FC waliwahisani wachezaji wa bure Simba SC. Wachezaji hao ni

1. Manula
2. Wawa
3. Nyoni

Hawa wachezaji wana mchango mkubwa sana kwene ubingwa wa simba sc wa miaka minne.

Simba inapashwa kuwashukuru sana Azam FC kwa kuwapa wachezaji hawa bure ili muweze kubeba ubingwa.

Walizungumzwa sana wakina miqquieson, chama na kagere.

Ila kuna watu nyuma ya pazia ambao walifanikisha ulinzi pakubwa.
 
Pamoja na mtazamo huo,Yanga wakati tunapitia wakati mgumu Azam pamoja na kuwa vizuri kiuchumi bado Yanga tulikuwa tunachallenge titles kuliko hata Azam..........
 
Wawa alitokea azam kwenda simba? Sidhani aisee
 
Simba inapashwa kuwashukuru sana Azam FC kwa kuwapa wachezaji hawa bure ili muweze kubeba ubingwa.
... kwamba Yanga inapaswa kuwashukuru sana AS Vita Club ya DRC?
 
Mbona hamjawashukuru As vita kwa wachezaji wa mkopo ambao wamewawezesha kutwaa ubingwa mwaka huu?
 

Yanga wamefungua chuo cha ujinga na kila mwezi kinatoa wahitimu mia tano naona nyuzi za kijinga zinaongezeka kwa kasi ya 5G hapa jukwaani
 
Yaani Azam FC imewabeba sana hawa MAKOLO sio siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…