UKWELI: Mafanikio ya Simba SC Miaka 4 Yamechangiwa Pakubwa na Azam Football Club.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wengi mnazungumza mafanikio ya kutwaa taji mara nne mfululizo ya simba sc pasi na kutoa shukrani stahiki kwa Azam FC.

Ikumbukwe kuwa Azam FC waliwahisani
wachezaji wa bure Simba SC. Wachezaji hao ni

1. Manula
2. Wawa
3. Nyoni

Hawa wachezaji wana mchango mkubwa sana kwene ubingwa wa simba sc wa miaka minne.

Simba inapashwa kuwashukuru sana Azam FC kwa kuwapa wachezaji hawa bure ili muweze kubeba ubingwa.

Walizungumzwa sana wakina miqquieson, chama na kagere.

Ila kuna watu nyuma ya pazia ambao walifanikisha ulinzi pakubwa.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…