Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwa uchambuzi huo wa soka ingekuwa ni shule basi ungekuwa darasa la 3c.Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona kuibuka na ushindi kama Chelsea watakuwa wametimia. Kwa mbinu za Conte zinatosha kabisa kuwapa nafasi Chelsea kufanya vyema dhidi ya Barca.
Pamoja na Chelsea kuwa na fomu mbaya kwa siku za karibuni, Barcelona bado hana uwezo wa kupata ushindi, njia pekee ni Chelsea apate red card na ndipo Barca ataibuka na ushindi.
Povu ruksa...
Ha ha ha ha ha mleta uzi kajionesha uwezo wake wa akili kisoka, huko kwingine mimi sijui.Kwa uchambuzi huo wa soka ingekuwa ni shule basi ungekuwa darasa la 3c.
2012 tulianzia wapi na nini kilitokea?Mechi za uefa kati ya Chelsea na barca,anaeanza nyumbani lazima atoke
Leo chelsea atatembelea makalio stamford bridge, Messi lazima awakimbize hawa wahuni.Endeleeni kukariri hivo hivo ooh Barcelona hajawah kumfunga Chelsea, kama hajawah Leo ndo anawah Leo, naona Leo sredi zimekuwa nyingi si tusubiri dakk 90 baada ya saa 22:45 ndo tujue
sio kweli hata kidogoMechi za uefa kati ya Chelsea na barca,anaeanza nyumbani lazima atoke
Hahahaha we waache waendelee kujipa moyo 7 o'clock na kadi juu vinawahusu maana you know nothingLeo chelsea atatembelea makalio stamford bridge, Messi lazima awakimbize hawa wahuni.
mpira dakika 90Barcelona kuwa na Messi kikosini ni red card tosha kwa Chelsea
wala sikushangai na ndio maana nikasema povu ruksa...Mbona Mkuu una akili kama polisi wa ccm?
povu ruksa...Kwa uchambuzi huo wa soka ingekuwa ni shule basi ungekuwa darasa la 3c.
Labda Uefa ya huko kwenu GeitaMechi za uefa kati ya Chelsea na barca,anaeanza nyumbani lazima atoke