Ukweli mchungu (Bitter truth)

Ukweli mchungu (Bitter truth)

Tinho_Under17

Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
10
Reaction score
6
Wajomba mambo vipi, aisee mimi sio mwandishi mzuri sana ila leo naomba niwapitishe kidogo kwenye hii "BITTER TRUTH" . ndio, ni ukweli mchungu especially kwetu sisi Scholars (wenyewe tunajiita wasomi😁) ila sisi!! anyways.

Siku za nyuma nimekua nikifanya Funny stories ila hii ya leo ni serious kidogo

download (4).jpeg

Najua unajiuliza kwann nasema "BITTER TRUTH" haya twende taratibu👇👇👇

Inawezekana moja kati ya mafanikio makubwa ya wazazi wetu enzi zao ilikua ni KUAJIRIWA. yes nasema ivi confidently coz najua moja ya ugomvi mkubwa kati yetu na wazazi wetu ni swala la KAZI. Namaanisha nini?

images (30).jpeg

Kabala sijandelea, ngoja tujadili hili jambo kwanza. Watu wengi tumekulia katika maisha ambayo tumekua tukiwaona wazazi, ndugu, majirani au watu baki wakiwa ni waajiriwa (government au private sectors) kama tunakubaliana naomba sasa tuendelee.

Kwaio since wayback (ata kabla ya uhuru uko) wazazi wetu waliaminishwa kua mafanikio ni KUAJIRIWA ndo mana hata wao wametulea sisi katika misingi io io ya kwamba tusome ili tuje kuajiriwa. Sasa wajomba naomba tuweke kituo kwanza apa tujadiliane tena.

images (32).jpeg

Najua kila mtu ana ndoto zake, je unadhani hapo kazini kwako ulipo ajiriwa utaweza kutimiza hizo ndoto zako? Je, ni watu wangapi wanafanya/waliofanya kazi kama yako ambao wameweza kuishi maisha ambayo wewe ni ndoto yako? Kama jibu ni HAKUNA, kwaio unasubiri maajabu yatokee kwako? 😁😁 (kizazi mbumbumbu)

images (34).jpeg

Nisamehen sana wapwa sijamaanisha kuwatukana mana hata mimi pia nipo kwenye hili kundi, kundi la ajabu sana, watoto wa kiume tunarizika na vi-mishahara vya ajabu, ndioo vimshahara vya ajabu (huo mshahara wako ambao ww unaona ni mkubwa sn, mm nasema ni wa ajabu😁) apa sasa ukitaka chukia tu, ila ndo nshakwambia😁😁
Sasa apa nieleweke simaanishi nadharau pesa, nooo namaanisha watu walio fanikiwa kuishi angalau nusu ya ndoto zao hawajaajiriwa (nina uhakika). Na kama wameajiriwa basi pia na wao wameajiri watu kwenye maneo mengine ambayo ni potential zaidi.

images (40).jpeg

Apa inawezekana sasa nimeanza kukushawishi au nakupa mwanga kidogo. Tatizo kubwa linalofata najua unajiuliza unawezaje kuacha kazi ili ujichanganye kwenye michongo mingine inayoweza kukupa zaidi ya icho unachokipata, je BABA, MAMA, KAKA, DADA watakuelewaje ukiwambia unaacha kazi?

images (39).jpeg

Wajomba kwanza mimi sijasema muache kazi, ila nimewafungulia code tu kua upime maji na unga je hapo kazin kwako utaishi maisha ya ndoto zako? kama ndio baki hapo, kama hapana bro roho ngumu tumepewa sisi.

images (35).jpeg

Kuhusu BABA, MAMA, KAKA, DADA kwamba watasema nini nakukumbusha tu kua hayo maisha ni yako sio yao, wewe ndio utatunza familia yako na sio wao watakao kutunzia familia yako. Mbaya zaidi ukifeli hao ndio wa kwanza kukusema kua haukua mpambanaji, ulitumia pesa vibaya, na kejili zingine. Mwanaume hawazi mara mbili (wanawake sijawatenga ila hii roho ngumu sina uhakika kama mnayo)

IMG-20230915-WA0080-1.jpg

Lastly najua unawaza ata ukitoka apo ulipo utaenda wapi? Kufanya nini? Utaishi kwa nani? Na je ukifeli itakuaje?ACHA UOGA bro. Narudia tena ACHA UOGA huo ni UOGA asanteni kwa leo mpwa wenu UNDER17 sina mengi ni hayo tu
 
Attachments

  • images (35).jpeg
    images (35).jpeg
    25.9 KB · Views: 2
  • IMG-20230915-WA0080-2.jpg
    IMG-20230915-WA0080-2.jpg
    187.8 KB · Views: 2
Wajomba mambo vipi, aisee mimi sio mwandishi mzuri sana ila leo naomba niwapitishe kidogo kwenye hii "BITTER TRUTH" . ndio, ni ukweli mchungu especially kwetu sisi Scholars (wenyewe tunajiita wasomi😁) ila sisi!anyways.

Siku za nyuma nimekua nikifanya Funny stories ila hii ya leo ni serious kidogo.

Najua unajiuliza kwann nasema "BITTER TRUTH" haya twende taratibu👇👇👇

Inawezekana moja kati ya mafanikio makubwa ya wazazi wetu enzi zao ilikua ni KUAJIRIWA. Yes nasema ivi confidently coz najua moja ya ugomvi mkubwa kati yetu na wazazi wetu ni swala la KAZI. Namaanisha nini?

Kabla sijandelea, ngoja tujadili hili jambo kwanza. Watu wengi tumekulia katika maisha ambayo tumekua tukiwaona wazazi, ndugu, majirani au watu baki wakiwa ni waajiriwa (government au private sectors) kama tunakubaliana naomba sasa tuendelee.

Kwaio since wayback (ata kabla ya uhuru uko) wazazi wetu waliaminishwa kua mafanikio ni kuajiriwa ndo mana hata wao wametulea sisi katika misingi io io ya kwamba tusome ili tuje kuajiriwa. Sasa wajomba naomba tuweke kituo kwanza apa tujadiliane tena.

Najua kila mtu ana ndoto zake, je unadhani hapo kazini kwako ulipo ajiriwa utaweza kutimiza hizo ndoto zako? Je, ni watu wangapi wanafanya/waliofanya kazi kama yako ambao wameweza kuishi maisha ambayo wewe ni ndoto yako? Kama jibu ni HAKUNA, kwaio unasubiri maajabu yatokee kwako? 😁😁 (kizazi mbumbumbu)

Nisameheni sana wapwa sijamaanisha kuwatukana mana hata mimi pia nipo kwenye hili kundi, kundi la ajabu sana, watoto wa kiume tunarizika na vi-mishahara vya ajabu, ndioo vimshahara vya ajabu (huo mshahara wako ambao ww unaona ni mkubwa sn, mm nasema ni wa ajabu😁) apa sasa ukitaka chukia tu, ila ndo nshakwambia😁😁

Sasa apa nieleweke simaanishi nadharau pesa, nooo, namaanisha watu walio fanikiwa kuishi angalau nusu ya ndoto zao hawajaajiriwa (nina uhakika). Na kama wameajiriwa basi pia na wao wameajiri watu kwenye maneo mengine ambayo ni potential zaidi

Apa inawezekana sasa nimeanza kukushawishi au nakupa mwanga kidogo. Tatizo kubwa linalofata najua unajiuliza unawezaje kuacha kazi ili ujichanganye kwenye michongo mingine inayoweza kukupa zaidi ya icho unachokipata, je BABA, MAMA, KAKA, DADA watakuelewaje ukiwambia unaacha kazi?

Wajomba kwanza mimi sijasema muache kazi, ila nimewafungulia code tu kua upime maji na unga je hapo kazin kwako utaishi maisha ya ndoto zako? Kama ndio baki hapo, kama hapana bro roho ngumu tumepewa sisi.

Kuhusu BABA, MAMA, KAKA, DADA kwamba watasema nini nakukumbusha tu kua hayo maisha ni yako sio yao, wewe ndio utatunza familia yako na sio wao watakao kutunzia familia yako. Mbaya zaidi ukifeli hao ndio wa kwanza kukusema kua haukua mpambanaji, ulitumia pesa vibaya, na kejili zingine. Mwanaume hawazi mara mbili (wanawake sijawatenga ila hii roho ngumu sina uhakika kama mnayo)

Lastly najua unawaza ata ukitoka apo ulipo utaenda wapi? Kufanya nini? Utaishi kwa nani? Na je ukifeli itakuaje? ACHA UOGA bro. Narudia tena ACHA UOGA huo ni UOGA asanteni kwa leo mpwa wenu UNDER17 sina mengi ni hayo tu
 
Kweli we under 17

Unajua bhn nisiongee sana, ila nina uhakika ujawahi fanya biashara wala ujui chochote juu ya maisha,

Naomba ipite miaka mitano irudie hii post yako.

Maisha sio rahisi kama unavyochukulia.
 
kipi unaona hakiwezekani apo? Jenga hoja. Hapo mwishoni nimeongelea swala la UOGA, naomba pia nikusisitize "ACHA UOGA"
 
Back
Top Bottom