Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara!
Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo,
Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee?
Kila alipo mtu mweusi katika Dunia hii ni shida tupu aisee,
Mwanzo nikajua Africa ni bara la giza kumbe watu wenyewe ndio giza lenyewe na Sio bara kama bara.
Haya sasa angalia wale WaAmerica Weusi shida tupu yaani saikolojikale ni Wabongo kabisa.
Kila kitu lawama tu mara oh watu weupe wanatubagua, mara ooh kisa utumwa ndio maana tumeathirika na bla bla kibao ila now wapo huru ndio wanaoongoza kuuana wenyewe kwa wenyewe, mitaani ni magenge na uhalifu wa Madawa na umalaya wa kijinga plus kupenda maisha ghari pasi na pesa wala Elimu.
Huku shithole ndio usiseme Chama chakavu kipo madarakani miaka zaidi ya 60 na serikali yake ila hata maajabu hakuna.
Bado huko zimbabwe na Somalia kote yale yale tu hakuna nafuu.
Yaani serikali zinazoshindwa hata kujenga mitaro ya maji machafu daaa basi tu,
Lengo la mada ilikua ni kwamba Waafrika ni failed project hatuna mchango kwa Dunia zaidi ya kuinyonya na kuharibu tu nothing more hivyo napendekeza kama nature inaweza kufanya kazi ni itumeze na Dunia ijirestart upya we are useless kama unabisha subirini muone comments zenu zinavyosadifu yaliyomo kwenye thread!
Nawatakia makasiriko mema na povu la buku jero maswali ya kiwaki kama
'wewe kama wewe umefanya nini?
Na so maoni yako ni nini au solution?
Kwa ufupi sina cha kufanya na nawatakia harakati njema!