Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam
Nitasema kidogo tu tena kwa ufupi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utaona wazi kwamba CCM wameandikisha wapiga kura wengi
karibu nchi nzima. Hapa haijalishi wametumia mikono au miguu ila wanefanikiwa na ni ukweli mchungu kwamba watashinda kwa kishindo ukizingatia kila kitu wanancho namaana jamaa wana tume yao ya uchaguzi, wasimamizi wao na wapiga kura wa kutosha.
Muda ni rafiki mzuri kuliko wote tukutane novemba hapa hapa.