mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,174
- 2,912
Ivi nyie wabongo Ni watu wa Aina gani?1. Alienda Morocco mkewe akiwa hai?
2. Alikua hajui yote hayo kuhusu family?
3. Ni mchezaji peke yake huko Morocco ambae kafiwa na mke?
Ronaldo karud man u means kafel juve?
Makambo je? Kafeli alikotoka?
Niyonzima alirudi yanga je alifel alikotoka?
Ni Mara ngapi okwi karud Simba?
Alafu why habari za chama kurudi Simba zinakomaliwa Sana hasa kwa mashabik wa Yanga? Nijuavyo kabla hajarudi yanga walimtamani Sana had kumshawishi na manara alikuwa kinara wa huu mchongo ,baada ya kufeli ndio haya tunayasikia.
Je chama angesain yanga haya unayoyasema ungeyaleta hapa?
Mbona naona Kama Kuna wivu wa kupindukia kwenye hili swala la chama?
Alafu hata Kama kafel amewah kutangaza njaa au msaada wowote wa kusaidiwa na mtu ?
Nikisema hizi Ni njama za kutaka kumtoa kwenye njia ntakua nakosea ?
Hapo yanga wapo akina fei ,job ambao wanapambwa kila cku kuwa Ni wachezaji wakubwa ,je wamewah itwa hata hapo Zambia kwa kina chama kukipiga? Kwahiyo tuje na kauli moja Sasa kuwa kumbe wachezaji wanaokipiga bongo Ni wale wote waliofeli?
Je Ni yupi kafel ambae hajawah vuka hata boda ya Burundi lakin anapambwa balaa na ambae kavuka boda kuja kudominate na kutengeneza jina nchini kwetu?
Ifike mahali kila mtu afanye anachoona yeye Ni sawa kwake ,watu husafir sehem za mbali lakin wasiporidhika na mazingira ya huko huamua kurud wanapoona mazingira Ni rafik kwao .
Nadhan ungefuatilia Kati ya Barkane na chama Nan aliomba mkataba uvunjwe na sio kuja na ngonjera.