UKWELI MCHUNGU (GEN Z Hawataki Kusikia Lakini ni Ukweli 100%)

Akuna msomi ane amini kwamba elimu au ajira itakufanya uwe tajiri ila tuna amini elimu na ajira hukupa uhakika wa maisha, hukupa uwezo wa kujitegemea na kusaidia wengne wanao itaji msaada wetu
Elimu sio utajiri
Ajira sio utajiri ilo kila msomi analijua na akuna msomi anae amini km elimu ni utajiri ila tunaambini elimu ni ufunguo wa maisha.
 
Wacha uongo wewe, school is a scam.

Mwenyekiti wa ccm na familia yake hawa kusoma na kamba yao ni ndefu kuliko PhD za UDSM halafu uje kutudanganya eti elimu is not a scam.

D9 tutathibitisha hili.
 
Kabisa yaani kuwabeza ni jambo la ajabu maana ajira zemeshikiliwa na watu wazima wasiotaka kustaafu.
 
Ni ukweli usemalo ila kamwe hawawezi kukujibu kwa hoja yeyote zaidi ya matusi, nasikitika kuwaona wanapambana kwaajili ya mslahi ya wengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…