Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Wanaoitwa wataalamu wa kilimo na mifugo ndio wanasababisha wakulima na wafugaji wengi waangukie pua kwa faculty hii.
Nikafanya utafiti kidogo elimu ya maafisa kilimo na mifugo ngazi ya kijiji na kata. Nikagundua wengi wao walipata division four kwa form four.
Chondechonde serikali iangalie hawa watu iwapatie mafunzo hawa watu. Ni raslimali bora kwa taifa na kilimo ni uti wa mgongo wa taufa letu.
Wachukueni wenye ufaulu mzuri wakasomee hii fani
Ushahidi: Nilenda kwa mmoja wao nikamuuliza swali hili "Afisa nalima tikikiti maji. Nahitaji nipate matunda matatu tu kwa kila shina. Sasa afisa nitafanyaje ili yabaki matunda matatu?
Jibu: Hata mimi zijui.
Nilicheka kimoyomoyo kwa kuwa huyu ni jamaa yangu wa karibu.
Serikali serikali jalini taaluma hii muhimu.
Iko kama waalimu wa primary. Yaani enzi zetu walikuwa wanachukuliwa waliopata sifuri kidato cha nne.
Eti aliyefeli ndio akafundishe wanafunzi wafaulu. Kituko.