Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka.
Watanzania sio watu wa kuonewa huruma. Wengi ni wanafiki. Kazi yao kulaumu kidogo kisha maisha yanaendelea.
Mtanzania akiwa na mapenzi na chama au kiongozi fulani haambiliki jambo.
Serikali msiwaonee huruma wananchi kwenye mambo ya kodi.
Wafanyabiashara janjajanja wafungwe au wafilisiwe.
Kuna wafanyabiashara unanunua bidhaa ya laki moja wanaandika risiti kuwa umenunua bidhaa ya elfu moja.
Serikali ikusanye kodi bila kumhurumia mtu ili watumishi waongezewe mishahara , hospitali zijengwe, shule zijengwe, madawati yanunuliwe na madege ya show off yanunuliwe.