💯 watu huona facebook kama mtandoa unaotumiwa na watu wasio jielewa lakini wateja wakuuu wa wafanyabiashara wa online wako facebook plus kuna option nyingi za biashara kuliko IG
Kabisa....Hakika.. Facebook watu hawajiskii sio kama Insta kila mtu bishoo anajiona ye ndio yeye