Ukweli mchungu kuhusu Chelsea

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
[emoji382]Baada ya kipigo Cha jana ni rasmi sasa mchezaji wa West Brom Callum Robinson tangu azaliwe amefunga magoli 5 tu kwenye EPL na goli zote ametufunga chelsea, mechi ya Jana katufunga Chelsea goli mbili namaanisha ana goli 5 tu kwenye maisha yake ya soccer ligi ya Epl na zote katufunga chelsea.

[emoji381]Baada ya Matheus Pereira jana kutufunga goli mbili ndani ya dakika 2 na 46seconds ni Rasmi sasa Chelsea msimu huu tumefungwa goli 8 na west Brom ndani ya mechi mbili, na kinacho sikitisha zaid ni kuwa asilimia 33% ya magoli waliyo yafunga west Brom msimu huu EPL yote wametufunga chelsea, msimu huu west Brom wamefunga goli 25 tu kwenye EPL na goli 5 zote wametufunga jana kwenye mechi 1. (Hapa kama hujui hesabu usibishe)

[emoji382]Bila kumsahau striker tunae mtegemea Timo Werner nae kafunga goli 1 tu ndani ya mechi 20 za mwisho EPL alizopata nafasi kucheza.

Anyway nilitaka nimuongelee na Tomath Tuchels nae lakin naogopa watu watasema Mkweli hana uvumilivu,, Basi tuachane nae huku nikiendelea kukumbusha kuwa West Brom msimu huu wameweza kufunga goli 3 au zaid katika mechi 3 tu msimu huu wote na mechi mbili kati ya hizo 3 zote ni dhidi yetu Chelsea.

Welcome to the English Premier League Tomas Tuchel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…