Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Ili uchumi wa Tanzania ukue na kuendelea tunahitaji kuwa na vijana wenye nguvu, na akili timamu na wanaomcha Mungu, sasa vijana wengi wa Tanzania wenyewe kazi yao ni umbeya tu kusikiliza habari za shilawadu sijui Diamond na Zari, nisijui Diamond anampa demu wake laki saba kwa week.
Utawala nao haungalii maendeleo, watawala wako busy kuhakikisha utawala wao utadumu madarakani kwa namna yeyote ile daaaaaa! Tanzania!
Utawala nao haungalii maendeleo, watawala wako busy kuhakikisha utawala wao utadumu madarakani kwa namna yeyote ile daaaaaa! Tanzania!