Ukweli mchungu kuhusu Tanzania ya viwanda

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,638
Ili uchumi wa Tanzania ukue na kuendelea tunahitaji kuwa na vijana wenye nguvu, na akili timamu na wanaomcha Mungu, sasa vijana wengi wa Tanzania wenyewe kazi yao ni umbeya tu kusikiliza habari za shilawadu sijui Diamond na Zari, nisijui Diamond anampa demu wake laki saba kwa week.

Utawala nao haungalii maendeleo, watawala wako busy kuhakikisha utawala wao utadumu madarakani kwa namna yeyote ile daaaaaa! Tanzania!
 
Umesahau UZALENDO. Umebaki kuwa ni hekaya za tembo mweupe. Wameanzisha uzi hapa wakielekezana namna ya "kupiga" vizuri wakishapata ajira TRA. Hatuwezi cheza ngoma tofauti na ile inayopigwa na watawala wetu wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…