mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Habari Ya jioni wana JF.
Mimi ni shabaiki Wa Simba sc lialia lakini Ukweli mchungu wa mashabiki wezangu Jana niliandika kuwa yanga wanaweza Kwenda kushinda mechi Na mmejionea nilichoandika hakijapishana sana njooni na leo
Msome uzi huu mtanilewa nini ninachoongea.
TUACHE KUKALILI MANENO [emoji120][emoji1666]
Eti sisi wazoefu wa mashindano haya?
Take notes Kwasasa kwenye football hazoefu hauitajiki sana kinachoitajika ni maandalizi mazuri na quality players ukiwa na ivyo vitu unaweza fanya lolote mahali popote ndo walichofanya Yanga taangu msimu wa mwaka Jana..
Utani wetu hauwezi kuuficha Ukweli Brother and sisters ukubali,ukatae Yanga hata kama wametolewa hatua ya Robo Fainal lakini next season wanaweza kufanya mambo makubwa kwenye champions league.Manara alisema Yanga itakuwa Timu ya kwanza kuleta Champions league Tanzania Hilo linawezekana kwani wenzetu wanahitaji marekesbisho kidogo Lakini Tayari Yanga wanaviongozi na wametumwa kazi ya Mpira siyo wakina Mangungu na mashabiki wao wenye mvuto wanawatetea uongozi wao [emoji1666][emoji1666][emoji120]
Performance ya Jana second half ilikuwa kubwa sana,waliwakosa quality ndogo sana kuimaliza mechi [emoji1666]
Ujue Yanga wanatupiga bao kwenye fighting spirit.kuanzia viongozi hadi wachezaji wamemeza sumu ya kuipambania Brand yao.
Kwa level za East and Central Africa Yanga ndiyo team quality kubwa kwenye performance yao ndani na inje ya pitch..
Let Truth speak .
Naongelea mpira mimi sio utopolo Ila mimi ni shabiki wa SIMBA SC NGUVU MOJA.