Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.
Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani
Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.
Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.
Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.
Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.
Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.
Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.
Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.
Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.
Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.
Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu
Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga sasa hizo nguvu zenu mlizo nazo ni zipi wakati ninyi ni miili hivi kweli umezaliwa Tanzania unasema unampiga Shetani? Are you serious au unakula bange mbichi? Kabla ya kufanya mzaha wa kumpigia kelele nenda kwanza kapigane na jeshi la Marekani ukishafanikiwa nitafute nikupeleke kwa vinyamkera na vibwengo, ukimalizana nao nikupeleke kwa majini ukiwamaliza wote nikupeleke daraja la tatu mpaka nakufikisha kwake skeleton ina afadhali